OMUSILANGA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 384
- 227
Uko sahihi mkuu, wote wawili Lema na Mawazo ni product ya Geita Secondary enzi hizo ikiwa chini ya bodi ya wakulima wa Pamba Mwanza hivyo wanafahamiana na kuijua vizuri sana kanda ya ziwa Kasamwa na Sengerema inclusive!lema alikulia na kusoma geita ukikutana nae muulize mbona hajahutubia kasamwa wakati wanaelekea sengerema?
Ndiyo wakuu!
Leo hii kauli ya mjinga akijitambua mwerevu upo matatani inakwenda kutimia leo hii Sengerema pale Dr Slaa atakapo kuwa anahutubia mkutano ktk ziara yake kanda ya ziwa akitokea geita.
Katika msafara wake yupo kamanda Lema,Diwani Alophonce Mawazo,aliye hama ccm-arusha mjini, Madiwani wawili kata za nyampulukano na Lugata Mr Tabasamu and Tizeba respectively. Kubwa linalotarajiwa ni kuwa wapo madiwani 4 na wenyeviji wa vitongoji 21 kuhamia cdm leo. Ndo navuka Busisi ferry kuelekea sengerema mjini ili kushuhudia anguko la ccm sengerema.
Hivyo Wana Jf na ahidi ku up date kwa kile kitakacho kuw a kinajiri. Iam very serious on this matter coz nimeamua kuacha vipindi vyangu chuo kama mchango wangu kuelekea Tanzania tuitakayo. Salaam zimufikie Ngereja ktk kpindi kgumu hiki kwake na chama chake.
MUNGU IBARIKI TANZANIA. MUNGU IBARIKI M4C
watu wa aina yako ndo tunaowahitaji ili kuikomboa nnchi hii. Utimize ahadi update please
mkuu tunafuatilia kwa karibu tukipata picha itakuwa njema zaidiUko sahihi mkuu, wote wawili Lema na Mawazo ni product ya Geita Secondary enzi hizo ikiwa chini ya bodi ya wakulima wa Pamba Mwanza hivyo wanafahamiana na kuijua vizuri sana kanda ya ziwa Kasamwa na Sengerema inclusive!