Dr Slaa kuendelea kubomoa ngome ya Ngeleja (Sengerema) leo

Linapokuja swala muhimu kama hili muwe mnaweka na No za simu ili tuwatresi kwa update, si vizuri kuning'iniza roho za wenzio juu, kuwa muungwana.
hakuna namba ya Ben maana nae yuko kule....
 
Ndiyo wakuu!

Leo hii kauli ya mjinga akijitambua mwerevu upo matatani inakwenda kutimia leo hii Sengerema pale Dr Slaa atakapo kuwa anahutubia mkutano ktk ziara yake kanda ya ziwa akitokea geita.

Katika msafara wake yupo kamanda Lema,Diwani Alophonce Mawazo,aliye hama ccm-arusha mjini, Madiwani wawili kata za nyampulukano na Lugata Mr Tabasamu and Tizeba respectively. Kubwa linalotarajiwa ni kuwa wapo madiwani 4 na wenyeviji wa vitongoji 21 kuhamia cdm leo. Ndo navuka Busisi ferry kuelekea sengerema mjini ili kushuhudia anguko la ccm sengerema.

Hivyo Wana Jf na ahidi ku up date kwa kile kitakacho kuw a kinajiri. Iam very serious on this matter coz nimeamua kuacha vipindi vyangu chuo kama mchango wangu kuelekea Tanzania tuitakayo. Salaam zimufikie Ngereja ktk kpindi kgumu hiki kwake na chama chake.

MUNGU IBARIKI TANZANIA. MUNGU IBARIKI M4C

Una ahadi za ccm!!!
 
Msikimbilie kulaumu wakuu, inawezekana mtandao umekata huko, si mnajua hujuma za hawa watu?
Nadhani hata tukipata late report si mbaya, nadhani kuna viongozi wa CDM walio eneo la tukio, mngejaribu kuwatafuta hao kwa taarifa zaidi.
 
Msikimbilie kulaumu wakuu, inawezekana mtandao umekata huko, si mnajua hujuma za hawa watu?
Nadhani hata tukipata late report si mbaya, nadhani kuna viongozi wa CDM walio eneo la tukio, mngejaribu kuwatafuta hao kwa taarifa zaidi.
Nimejaribu kuongea na kiongozi mmoja lakini naona yuko kwenye mkutano maana ni kelele kiasi kwamba hatu sikilizani....
 
Mmmmh! Nimebaki njia panda kama nasubiri matokeo ya penalt ya mwisho
 
Yaweza ikawa kaka,maana sera zikikubali unasahau hata kwamba kuna jam toka posta hadi mbezi
 
Nimejaribu kuongea na kiongozi mmoja lakini naona yuko kwenye mkutano maana ni kelele kiasi kwamba hatu sikilizani....

Angalau umetutoa wasiwasi, kwa post yako inaonekana kuwa mkutano upo, na raia wanaendelea kupewa ilmu.
Ripoti hata ikija wiki ijayo, la muhimu ni kuwa yaliyojiri yamejiri.
VIVA LA CDM!
 
Kuna ndugu yangu mmoja nimeongea nae muda si mrefu yuko huko sengerema ila alichelewa kwenda,amekuta watu kibao wanarudisha kadi za Magamba,hivyo pengine tuendelee kusubili data kamili za huyo mwana jf aliyeenda mkutanoni.Asanteni!
 
Back
Top Bottom