Kuna tetesi kwamba kuna majadiliano yanaendelea kati ya marafiki wa Slaa walioko CCM na Slaa kuhusu uwezekano wa mwanasiasa huyo kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya Katibu Mkuu wa sasa Abdulrahman Kinana kumaliza muda wake.
Marafiki hao ndani ya CCM wanadai kwamba "Style" ya Mwenyekiti wao John Pombe Magufuli inaendana na Slaa na wanaamini kwamba wawili hao watakiimarisha sana chama chao. Pia inadhaniwa kuwepo kwa Slaa kutakuwa ni mwiba mkali sana kwa chama chake cha zamani CHADEMA.
Slaa alikuwa ni mwanachama wa CCM kabla ya kujiunga na CHADEMA mwaka 1995 kutokana na kutopewa nafasi ya kugombea Ubunge jimbo la Karatu kupitia CCM. Kuna wakati CCM walidai kuwa Slaa alikuwa bado analipia kadi yake na Slaa mwenyewe alikiri kwamba kadi yake ya CCM bado anayo.
ahaaa...nikwambie kitu mkuu?Kuna tetesi kwamba kuna majadiliano yanaendelea kati ya marafiki wa Slaa walioko CCM na Slaa kuhusu uwezekano wa mwanasiasa huyo kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya Katibu Mkuu wa sasa Abdulrahman Kinana kumaliza muda wake.
Marafiki hao ndani ya CCM wanadai kwamba "Style" ya Mwenyekiti wao John Pombe Magufuli inaendana na Slaa na wanaamini kwamba wawili hao watakiimarisha sana chama chao. Pia inadhaniwa kuwepo kwa Slaa kutakuwa ni mwiba mkali sana kwa chama chake cha zamani CHADEMA.
Slaa alikuwa ni mwanachama wa CCM kabla ya kujiunga na CHADEMA mwaka 1995 kutokana na kutopewa nafasi ya kugombea Ubunge jimbo la Karatu kupitia CCM. Kuna wakati CCM walidai kuwa Slaa alikuwa bado analipia kadi yake na Slaa mwenyewe alikiri kwamba kadi yake ya CCM bado anayo.
Kuna tetesi kwamba kuna majadiliano yanaendelea kati ya marafiki wa Slaa walioko CCM na Slaa kuhusu uwezekano wa mwanasiasa huyo kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya Katibu Mkuu wa sasa Abdulrahman Kinana kumaliza muda wake.
Marafiki hao ndani ya CCM wanadai kwamba "Style" ya Mwenyekiti wao John Pombe Magufuli inaendana na Slaa na wanaamini kwamba wawili hao watakiimarisha sana chama chao. Pia inadhaniwa kuwepo kwa Slaa kutakuwa ni mwiba mkali sana kwa chama chake cha zamani CHADEMA.
Slaa alikuwa ni mwanachama wa CCM kabla ya kujiunga na CHADEMA mwaka 1995 kutokana na kutopewa nafasi ya kugombea Ubunge jimbo la Karatu kupitia CCM. Kuna wakati CCM walidai kuwa Slaa alikuwa bado analipia kadi yake na Slaa mwenyewe alikiri kwamba kadi yake ya CCM bado anayo.
Hapana ni chanzo cha kuaminika kabisa, ila kwa sababu za kisheria ndiyo maana nimesema ni tetesi!"Lisemwalo lipo..." ama mkuu Allen Kilewella nawe umejiunga na wapiga ramli maarufu humu JF?
Nauliza tu
Je hilo halikufanyi ufurahi mbona unawasiwasi basi haya kwa hiyo walemadiwani waliojiuzulu ndio maandalizi ya kumpokea huyo dr. msisahau kumchukua na prf.tunawatakia memaKuna tetesi kwamba kuna majadiliano yanaendelea kati ya marafiki wa Slaa walioko CCM na Slaa kuhusu uwezekano wa mwanasiasa huyo kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya Katibu Mkuu wa sasa Abdulrahman Kinana kumaliza muda wake.
Hata ungesema wa ngazi ya chini ...no harmHata Mimi nimepenyezewa hiyo habari na mwanaccm Wa ngazi za juu
Mwenzio ana ulinzi mkali anakula raha unasema anakula mihogo wewe mpuuzi
Mushumbusi ana hizi taarifa?Dr. Slaa akirudi CCM na mimi narudisha kadi ya CHADEMA kumuunga mkono, mapenzi yangu na Dr. Slaa ayawezi kuniacha salama.
Hukuna Mbaya yeyote. Kama ni raia wa Tanzania, na akaridhia kwa hiyari yake hapana shida!Kama wanaweza kukaa na kina Wasira na Kaborou hata huyo watakaa naye! Keshakuwa mwenzao dhidi ya CHADEMA na UKAWA!