Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!


Next time kuwa makini. Comments zako zinaonesha uwezo wako kiakili.
 



The SPEECH IS GOOD..SIMPLE ..SHORT,CLEAR AND PATRIOTIC WITH ESSENCE ROLE OF OPPOSITION ...FOR GOOD CAUSE
 
Uandishi mzuri ni ule wa mipasho ya kiswahili kama mlivyozoea kwenye ngoma zenu'

"Rais Obama alimkumbatia na kumwambia, wewe ni kaka wa kweli" ilikuwa ni maajabu kwa 'waandishi mahiri' wa speech. Huwa najiuliza hivi hii press release ya ikulu iliwalenga watu wenye upeo gani hasa? Ni msomi yupi atakayejivunia kukumbatiwa Obama? What a shame.
 


Zinatengenezwa Arusha lakini zinalipiwa na marekani..

kazi aliyofanya kikwete mzuri ni kujenga Kiwanda cha Larvisides Kibaha ..
 
Dr. Slaa kwa maneno matupu hajambo!
Kusema na kutenda ni vitu tofauti kabisa, anaponda misaada wakati KODI HATAKI KULIPA (Mshahara wake alikataa kulipa PAYE) chama chake kinaishi kwa misaada na anatoa mfano wa Rwanda bila kujua kuwa Rwanda bado ni nchi masiki inayotegemea misaada kwa wingi na wizi kule DRC.

Dr. Slaa ni maneno tu ya kisiasa hana jipya la kuweza kujenga nchi hii.
 
Asante Mungu kwa kutujalia huyu mtu katika Taifa letu? Nasema tena Ahsante Mungu.
 
Uandishi mbovu ajabu, bado sijakutana na mwandishi mzuri wa hotuba...haivutii

Follow the issues adressed in the speech; sio grammar au style of delivery!

look at this!!
"Chadema party believes on the free market economic philosophy in which individual creativity is rewarded. We need your partnership in fostering individual innovation within our people. We don't need your tax money; neither do we need your mosquito net donations, we need your skills."

look at this!!
"Well, we have come to realize, that if you feed us today with your milk and honey, our meals for tomorrow may not be guaranteed. We instead want to know how you made your country into a land of milk and honey so we can be able to feed ourselves for unforeseeable future and also feed the rest of the world. We have the potential but lack the expertise, and the know how is what we need"

look at this!
"We need investors that will bring into our country, a set of skills and creativity to turn our hardwood into high quality, made in Tanzania products, as opposed to bringing cheap furniture made of plywood while hauling away our valuable timber!!"


Wacha wewe; give credit where it is due; this is a blockbuster speech; a masterpiece! kaka Mvuto wa sura umetufikisha hapa tulipo! ufisadi; rushwa. ukatili; kufungia magazeti; Polisi na mauaji ya raia, mahakama zisizo huru nk. nk!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
slaa hana jipya.

Kwanini ndgu mnaoSupport CCM hampendi kubadilika! Kwanini mnapenda kujadilia wa2 Badala ya HOJA? nadhani ndomana humu mnadharaulika hadi mnaambiwa mnaishi kwa Elf 7! Binafs ningefurahi km wa2 mngekuwa mnaichana hiyo Speech! kwa HOJA lkn nmna hii haikusaidii ww wala hao unaowawakilisha acheni woga NCH hii niyetu SOTE hakuna mwenye hatimiliki!
 
 
''Foreign aid is a form of slavery which creates a false sense of entitlement. It confines a beggar into a psychological and mental prison of his own creation, becoming incapable to make any meaningful decision of his own. He does not think on how to get out of his difficulties as long as he knows that, someone somewhere will help him. ''


hapo juu ni bonge la dongo kwa mmkwere....kwa maneno mengine mmkwere is a captive of his own identity living in prison of his own creation...... frustration is killing him..thanks Dr WPS
 
Huyu Dr Slaa ni balaa, tofauti kabisa na yule mtu wa "We manufacture tichaz"
 
for all having wives there in america!!!!! plz take care of them. there's hungry dog around u

And you call yourself a great thinker?? You are a sinker than a thinker!! What of KIKWETE woman in London being taken care with our tax leave alone mama salma who dared to hire a private jet to Nebraska? Btw.... Karibu jamiiforums.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…