Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!


Wakuu mnaonaje hiyo sentensi? Ina ujumbe mzito kuliko kawaida!
 
hatuna mda wa kupoteza kusoma mashairi ya katibu wa NGO ya watu
 
Hii ni rare speech katika majukwaa ya siasa Africa leo. Hizi ni speech za enzi za Mwl Nyerere.
JK hawezi kutoa speech kama hii, hata akiandikiwa kuna uwezekano mkubwa wa kukataa kuisoma.
Speech inafunua moyo uliogubikwa na mzigo wa vision,uchu wa kutekeleza vision hiyo na utayari wa kufanya hivyo.

Bravo Dr. Slaa, You deserve to be a president of this country
 
Hata mie nai-print, hii kwa watu wenye akili timamu ndo wataielewa, maana katika msafara wa Mamba kenge nao huvuta harufu zao kwa nyuma nyuma.
 
hatuna mda wa kupoteza kusoma mashairi ya katibu wa NGO ya watu

Dr.Slaa anasema kipaumbele namba moja cha CDM ni elimu,namba mbili pia ni elimu,na hata tatu.je wajua Elimu ni kipaumbelea namba ngapi kwny big results now?na ni kwa nini?
 
Mwandishi mzuri wa hotuba ni Salva Rweyemamu na mwenzie Kibanga tu
Seriously mkuu, nazungumza nikimaanisha kwamba hii hotuba ni ya kawaida kabisa, ukitafuta first year yoyote wa sheria anaweza andika vizuri kuliko jinsi hii hotuba ilivyoandikwa...kama mwenye phd anaandika vibaya hivi, sina haja ya kutafuta hiyo phd...
 
By Rtackket



........ while our President is busy trotting the world begging for mosquito nets. With our resources, we can make our own mosquito nets without them being donated to us.

Babu hapo umesema uongo wa wazi wazi kabisa; Jionee hapa A-Z Textiles Arusha:




Her Highness, The Royal Princess of Belgium, Astrid Sofia (left) with the Managing Director of the A to Z textile mills Anuj Shah (center) and the Arumeru District Commissioner Wawa Lali, when the princess visited the factory this week in her mission to eradicate malaria in Africa. A to Z is the leading manufacturer of long lasting impregnated mosquito nets in the continent.
(photo by Paul Sarwatt)

Hata ma Princess wanakitembelea, babu anadangaya USA.
 
Hakika Dr.Slaa ni level nyingine,ccm hapa kwanza hata kiingereza ingekuwa issue.

Priority no. 1-education, no. 2-education, no. 3 also. Wenzetu sijui priority yao ni nini, labda kuomba omba.

Safi dr. Sasa naamini hakuna mmarekani atatudharau watanzania kwa sababu ya yale waliosikia toka magambani na watajua kwanini nchi hii iko katika umaskini.
 
Uongozi ni kipaji si wa kuununua kwa pesa chafu za EPA.Kwa yeyote mwenye akili timamu bila shaka
anaelewa uzito wa hii hotuba ya Dr.Slaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…