Mkuu wahi painkiller haraka sana kwani mishipa ya fahamu imezidiwa.Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein amefunga rasmi kampeni za ubunge jimbo la Chalinze kwa kuahidi mendeleo kwa wana Chalinze kitendo cha kumtoa rais Zanzibar aje kumsaidia Riz one ni dadili za uoga wa ccm kazi aliyofanya rais Shein ni kazi ya kinana,nape na kabineti zao kwa uoga huu watanzania msishangae kesho jimbo linachukuliwa na CDM.
Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein amefunga rasmi kampeni za ubunge jimbo la Chalinze kwa kuahidi mendeleo kwa wana Chalinze kitendo cha kumtoa rais Zanzibar aje kumsaidia Riz one ni dadili za uoga wa ccm kazi aliyofanya rais Shein ni kazi ya kinana,nape na kabineti zao kwa uoga huu watanzania msishangae kesho jimbo linachukuliwa na CDM.

Subirini dozi yenu kesho...

chadema wanaweza kuchukua jimbo kama tu,wanachalize watajitambua kama kwenye majimbo makubwa
Kumbe nanyi hamjapeleka chopa kwa Uwoga?