Wadau, jana niliweka simu mezani: kijana wangu mdogo akaichukua na kuanza kuichezea, nlivokuja kustka imelock line (Vodacom) inaomba PUK!!! Bahati mbaya kabisa nilishapoteza (Hii line ni ya kitambo sana)! Nimewapigia voda wanadai ne-renew, kilio changu ni kwenye contacts zangu! Je kunauwezekano wa kufanya manuva na kupata PUK? (mfano kitu kama PUK generator au vyovyote)!
Thanx!
<br />Wadau, jana niliweka simu mezani: kijana wangu mdogo akaichukua na kuanza kuichezea, nlivokuja kustka imelock line (Vodacom) inaomba PUK!!! Bahati mbaya kabisa nilishapoteza (Hii line ni ya kitambo sana)! Nimewapigia voda wanadai ne-renew, kilio changu ni kwenye contacts zangu! Je kunauwezekano wa kufanya manuva na kupata PUK? (mfano kitu kama PUK generator au vyovyote)!<br />
Thanx!
MKUU azima simu ya mtu yyt inayo tumia line ya voda kisha uende uwanja wa msg. ANDIKA puk acha nafasi kisha tuma kwenda 123. mfano: PUK 0754123456 >>>123
UKIKWAMA RUDI UTUAMBIE UMEKWAMA WAPI.
Dah! Ubarikiwe sana mkuu, hii skuijua kabsaa! Cha ajabu hata customercare wa voda sjui hawapewi seminar juu ya huduma zao, wamekaa kipumbavu sana. Asante sana mkuu! IDUMU JF!