Aangalie wasije wakawapa marks za bure ili alinde kibarua chake. Kama makosa yalikuwepo warekebishe, lakini wasahihishe kwa haki, wawape wanachostahili.
acha kudanganywa na akina ponda, uislamu haujaanza leo na hakuna mwenye ubavu wa kuuondoa duniani, wewe na mimi tutaondoka lakini dini ya mwenyezi mungu itaendelea kubaki.
Ninaomba TAFSIRI ya KAFIR. Je, Ni yeyote asiyekuwa MUISLAMU au hata MUISLAMU aweza akawa KAFIR? Na UISLAMU Ni Kubatizwa tu au kuishi kama anavyotaka MUUMBA?
Yeyote anayesema anampenda Mungu anawapenda na kuwaheshimu wengine, zikiwemo dini zao, atakachonifanya ni kuwaombea ili wamjue Mungu wa kweli na sio kashfa
Hivi nn hasa maana ya neno makafiri au kafiri????
je ni busara kumuita mwenzio hivyo..........???
kwa wale watumiaji je wao wangefurahi kuitwa hivyo???