Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,808
- 165,568
Mbona hashitakiwi ? Mi ningependa ashitakiwe ili tujue yaliyojificha chini ya sakata la Richmond... Kama wale wenye rangi ya mchicha hamjaanza kukimbizana...Dawa yenu inachemka ikiiva mkaanza kushughulikiwa msilalamike katiba haifuatwi. Maana tokea mumpokee mmegeuka kuwa watetezi wa mafisadi.
Ngonjera lile lile, mnachofanya sahivi ni kubadili, alama za nukta na kuuliza kwenye maandishi hayo hayo.Dawa yenu inachemka ikiiva mkaanza kushughulikiwa msilalamike katiba haifuatwi. Maana tokea mumpokee mmegeuka kuwa watetezi wa mafisadi.
Wanakera sana hawa watu.Mwenyewe anakuambia kutokuwa na wateja kwenye mahakama hiyo ni mafanikio kwa sababu watu hawaibi tena kwa kiwango cha bilioni moja kwenda mbele ,wanaiba kwa kiwango cha milioni 400 na watajitahidi kiwango hicho kishuke zaidi
Wakati wa Sakata la Richmond hapa kwenye uchaguzi alisema Jinai haina mwisho ,Leo mahakama ya mafisadi ina kesi moja dah ..Lowasa si Fisadi na yeye na tume yake ndie walisema hivyo anasubiri nini kumpeleka mahakamani ?
Mkuu kayanena wapi haya?Kwakweli tumefanywa wajinga na hawa watu sidhani kama wanastahili kuendelea kubaki madarakani.
Tangu lini kosa la jinai likafa?
Jinai ina-expire imekuwa bidhaa?!
Mabadiliko ya kweli nchi hii yataanza siku ile ambayo CCM inaondoka madarakani.
"Politics is everything but everything is not politics and making everything politics amount to make everything a failure"
Mahakama ya Mafisadi is already another failure.
hapa nimeisoma nambakwan lowasa sio fisadi? mbona wamemchafulia hal ya hewa huku vjjn make ukimwongelea lowasa ktk vjiwe wazee wanakuambia we mtoto fisad yule 2mchague cc bora 2bak na ccm ye2,kama kwel huyu dr kaongea hl basi wamwombe radh ndg lowasa make huku vijjn hawamwelew kabisa na sumu walio imwaga ccm cha cdm kuptia lowasa make wamemshupalia sana! n kwel hakuna kes ya mafisad wahusika wa richmond,escrow,lugumi,rada nk hawajapelekwa au ndo kwa ajil ya dagaa kama cc makabwela ukiiba kuku unakula mvua thirty yrs il iwefundisho?
Umemwelewa mleta mada kweli!?!?Dawa yenu inachemka ikiiva mkaanza kushughulikiwa msilalamike katiba haifuatwi. Maana tokea mumpokee mmegeuka kuwa watetezi wa mafisadi.