Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,290 Reaction score 5,769 Oct 19, 2018 #1 Naombeni kama kuna mtu mwenye mawasiliano ya DR MBWAMBO wa moshi anijulishe Kama una namba yake ya simu naomba unitumie kwa inbox kuepuka usumbufu wa kuweka namba ya mtu hewani Asanteni
Naombeni kama kuna mtu mwenye mawasiliano ya DR MBWAMBO wa moshi anijulishe Kama una namba yake ya simu naomba unitumie kwa inbox kuepuka usumbufu wa kuweka namba ya mtu hewani Asanteni
kivava JF-Expert Member Joined Apr 2, 2013 Posts 5,772 Reaction score 4,933 Oct 20, 2018 #2 Piga KCMC ama utampata au utapewa namba yake Sijui kama ile hospital yake imefunguliwa.