Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,236
Kwa kuwa ni wabunge wa vijiweni, hawajui kuwa swala la kuuza nyumba za serikali lipewa baraka na baraza la mawaziri, ambalo Mkapa ndio alikuwa mwenyekiti.
Ndio shida ya kuchagua wabunge wa vijiweni, wenye upeo mdogo na wasio jua hata serikali inafanyaje kazi.
Poleni sana.
Kwani Phd ya Nchimbi ikoje?Hivi kwa nini hamjifunzi kuaprreciate vitu vya wenzenuk?Hiyo ni Roho mbaya na inaelekea huna Amani na maisha yako.
Bado Ubungo Bus Treminal watu tunalipiaHakuna kuomba radhi hapa, hili ndio moja ya majembe machache yaliobaki CCm, watu tunalupa sh300 just for parking ya dk 10, madala dala sh450, public toilet sh200 na makodi kiba leo balaa liwe kwa jembe tu
sasa mtu appreciate hata upuuzi,wizi na degree fake?acheni unazi usio na maana sometimes
brother umekosea sana kusema hivyo we ukizomewa na umati utafanya nini?mbona zamani ulivyokuwa ukikojoa kitandani ukichekwa kindumbwendumbwe ulikuwa unapanic walimprovoke lets them pay stupid, we told them magamba they will change nothing once cdm is there and these gold tonage we have, bridge will be thereIshu sio nauli bali ni kauli zake chafu alizozitoa.
Nimemshusha sana Magufuli, kumbe ni wale wale tuu!!
CCm ndio wanaongoza kwa PhD feki. Mtu mwenye PhD ya ukweli hujastify kwa hoja na matendo yake. Mtu mwenye PhD feki hukimbia MIDAHALO na wenzake wenye PhD za ukweli. Na akitaka kuongea hukimbilia wazee fulani ambao mara nyingi huenda kulala na kupiga makofi na vigelegele. Sijamsikia Nchimbi akichambua hoja ila nasikia ya kwanza ilikuwa feki ila nilisoma gazetini kuwa kapata sasa ya ukweli. TutaonaUna uhakika ni fake?au jwa vile tu ni CCM
CCm ndio wanaongoza kwa PhD feki. Mtu mwenye PhD ya ukweli hujastify kwa hoja na matendo yake. Mtu mwenye PhD feki hukimbia MIDAHALO na wenzake wenye PhD za ukweli. Na akitaka kuongea hukimbilia wazee fulani ambao mara nyingi huenda kulala na kupiga makofi na vigelegele. Sijamsikia Nchimbi akichambua hoja ila nasikia ya kwanza ilikuwa feki ila nilisoma gazetini kuwa kapata sasa ya ukweli. Tutaona
..........kupiga mbizi mbona ni kauli ya kawaida tu mkuu kuliko hata ile ya "makalio ya sufuria hayaogopi moto"Ishu sio nauli bali ni kauli zake chafu alizozitoa.
Nimemshusha sana Magufuli, kumbe ni wale wale tuu!!
Kwani Phd ya Nchimbi ikoje?Hivi kwa nini hamjifunzi kuaprreciate vitu vya wenzenuk?Hiyo ni Roho mbaya na inaelekea huna Amani na maisha yako.