Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,136
- 28,269
Magufuli hatakaa ashinde u Rais maana anaonekana hajui hata anataka iufanya nini..yy yuko busy kutuambia niamini nitumeni..pumbafu
nani kakwambia magufu ni rais
Kwani kanda ya kaskazini ndo wenye kuamua nani awe rais wa Tanzania na sio watanzania wa kanda zote ndo wenye kuamua kupitia sanduku la kura?Mtajiju na makomeo wenu maana keshachoka tayari wakati hajaenda kutambulishwa kanda ya kaskazini
ukawa unabanwa NA kifungu cha tano cha KATIBA,
Kuna misunderstand nzito sana!,
Kwamba chama kitakachotoa rais ni lazima kiunde serekali chenyewe na si kushare!
hapo ndipo penye mgogoro !!!
who to trust others!!!!????
in fact ukawa ni LAZIMA KUSAMBARATIKA!!!
HIVYO KUPELEKEA MAGUFURI KUWA RAIS WENU
no way out!!