Dr. Magufuli aingia Hanang kwa aina yake

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]
[/h]






Mheshimiwa Magufuli anaendelea na kampeni. Anapita kila Kitongoji, kila kijiji, kila kata, naam, hiyo ndio aina ya kipekee ya kukutana na wakazi wote wa Tanzania.

Mpe Kura yako Mh. Magufuli.

#HapaKaziTu

Mr. Chin
 
CCM ina idadi kubwa ya bendera na mabango kuliko idadi ya wanachama.
 
Aaahh wapi.
Acha fix... Nina mtu hapo hanang anasema hamna chochote kwenye ziara ya Magufuli hapo.
 
Niko hanang jamaa anatumia kila njia akubalike lakini watu wameshaelimishwa na mzee wa mvi aka lowasa
 
Hanang wala asitegemee kupata kura nyingi pamoja na kuwa kuna Mary Nagu lakini hali imeshabadilika sana
Chadema mwendo mdundo.
 
Mbona hamna watu. Tayari wako upande wa Sumaye.
 
Ivi kuna binadamu mwenye akili timamu asiyemkubali magufuli?lowasa,kingunge,rostam,mengi,karamagi,mbowe,sumaye etc wanalikubali hili tingatinga.
 
Magufuli apumzike hakuna haja tena ya kupiga kura. .kwa haraka mpaka sasa naona kura zaidi ya milioni 15 ameshajinyakulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…