johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ana kamdomo sanaDr Kigwangalla akijibu hoja ya Peter Henry kwamba CCM inamtaka Mbowe Kwa sababu Inammudu, amesema " on the contrary MIMI SITAKI LISU APOTEE"
Majadiliano Ukurasani X
Dr Kigwangalla au Wakili Msomi Tundu Lisu?Ana kamdomo sana
ππππOn the contrary haina kiswahili chake?
msukuma wa Gambosh ataelewa nini hapo?
KigwangalaDr Kigwangalla au Wakili Msomi Tundu Lisu?
Angalizo ni muhimuKigwangala
Tunajadili Hoja yake hatumjadili yeye πKigwangala hakuna anachojua kwenye siasa, Waganga wamekula sana pesa yake ili arudi kwenye Uwaziri
Tukifuata ushauri wa Yeriko Nyerere huyo Tundu Lisu hatuwezi kumjadili hapa bwashee πHivi Kigwangalla ni mtu credible kweli wa kurely naye? Mbali na kujadili sisi kwa sisi, maoni toka nje yawe watu wenye credibility
Ukileta hoja mbele ya Umma lazima na wewe ujadiliweTunajadili Hoja yake hatumjadili yeye [emoji1]
Hajawahi kuwa na akili bora aliondoka kwenye tiba maana angemaliza wengiDr Kigwangalla akijibu hoja ya Peter Henry kwamba CCM inamtaka Mbowe Kwa sababu Inammudu, amesema " on the contrary MIMI SITAKI LISU APOTEE"
Majadiliano Ukurasani X