DR Congo: Muasi Sultan Makenga auawa

Basi kama hawana ni vigumu kuondoa 'target' ngumu kama hiyo, huenda ni muendelezo wa Uzushi.
What if waliomtumia wameamua apumzike. What if kuna assassin alitumwa. What if mawasiliano yake yalinaswa na movements zake zinajulikana akawa targeted. What if.... nying
Au sio mwenyewe labda
 
What if waliomtumia wameamua apumzike. What if kuna assassin alitumwa. What if mawasiliano yake yalinaswa na movements zake zinajulikana akawa targeted. What if.... nying
Au sio mwenyewe labda
Ni kweli yote yanawezekana.....labda wamepata ingizo jipya wakaamua kumpoteza (Kama ni kweli kauawa).
 
Apumzike panapostahili kama ni kweli..ndio mshahara wake.
 
Kama ni kweli itakua kama kifo cha Fredy Rwigyema patner wa PK kifo chake kimebaki kua utata mpaka leo hii.
 
[emoji1][emoji1] endelea na utabiri mkuu.hio ilikua [emoji116][emoji116]Ni 2013 Na miezi 2 iliyopita alikufa akafufuka tena [emoji1488][emoji1488][emoji1488]View attachment 2288411
Ufufuo wa kipindi hiki tunaungojea😁

Labda kweli ni uzushi taarifa hizi hazipo KWENYE VYOMBO VYA HABARI VIKUU TULIVYONAVYO KWA SASA
 
Ufufuo wa kipindi hiki tunaungojea😁

Labda kweli ni uzushi taarifa hizi hazipo KWENYE VYOMBO VYA HABARI VIKUU TULIVYONAVYO KWA SASA
Safari hii inawezakuwa ni kweli maana huko kuna mgomo wa wafanyabiashara kuingia kivu sasa yawezekana kabisa watu walishachoka na hali ya usalama kuyumba na ikiwa watu wanajua msababishi ni nani, na ukisikiliza kauli ya juzi baada ya mazungumzo kati ya PK na Chisekedi utaunganisha dots M23 walitoa neno lao na hili lililotokea basi huenda kuna ukweli kwa %kubwa.
 
Ufufuo wa kipindi hiki tunaungojea[emoji16]

Labda kweli ni uzushi taarifa hizi hazipo KWENYE VYOMBO VYA HABARI VIKUU TULIVYONAVYO KWA SASA
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Safi sana Tshisekedi, piga kabisa hao magaidi wa Kagame.
 
Habari kipuuzi hizo,jeshi la congo halina uwezo wa ku muua Makenga. propaganda tu. soon nawapa video yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…