DP World Australia

Mkataba wa DP vs Tanzania ndiyo tatizo,siyo jina lao,wala uwepo wao mahali pengine

Wanapaka sukari Chroloquine ili kufunika machungu ya mkataba wa Tanzania, wakisema DP World IPO mpaka Australia basi ni vizuri watupe na mkataba tuuone kama ni wa kipuuzi kama wetu pia na tuwaulize Je kwanini Zanzibar haipendi maendeleo ya bandari yao?
 
Phase ya Zanzibar inakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…