Mkuu, Kosa mojawapo tunalo lifanya ni hilo! Kama mwanadamu anayo madhaifu yake na si mkamilifu! Na dhamira inapo msuta anatubu mbele ya Mungu wake, haitupasi kumnyooshea kidole. Jee wewe binafsi umeteleza na kuanguka mara ngapi? Jee uliendelea kugalagala chini! Si uliinuka na kusonga mbele!
Mimi Naunga mkono hoja ya mtoa hoja!
Thanks!