Kuna app nimeona nishare nanyi, inaitwa blackmart...... Hii ni market ambayo apps yoyote inayouzwa playstore utaipata bure kabisa https://www.dropbox.com/s/qdzbdgy3jaa3vgd/Blackmart Market v.0.99.2.42 build 992042.apk?dl=0 nimeweka link ya Dropbox uipakue
Kuna Aptoide mwisho wa yote.
Mkuu asante kwa kushea hii app na nimeona app zinazo uzwa zinapatikana humo. Sasa kila nikijaribu kuinstall hainipi error yoyote ila inaandika kama hivyo hapo kwenye pocha.
Any solution?
Hapo sijui tatizo nini, Ila nakushauri games za Android zitafute torrents ndio utapata bila shida yoyote
Una direct link? Au hata google tu inapatikana