Download free drum kits

Kram Billz

Member
Joined
Dec 1, 2012
Posts
75
Reaction score
81
Katika nakala nyingi ambazo nimezipitia na kuzifanyia utafiti kwa kiasi fulani zinaelezea kuwa katika muziki drums ni kitu muhimu sana ambapo huweza kuleta radha nzuri na kumfanya mtu atikise kichwa pale tu anaposikiliza muziki.Ninapozungumzia drum kit nina maana ya snares,kicks,crash,claps,hi hats,hats na vinginevyo kwa mkusanyiko huu ndipo tunapata drum kit. Kwa kawaida drum kits zipo za aina mbali mbali kulingana na aina ya muziki.Itakuwa ni kituko kukuta producer ametumia drum kits za zouk kwenye trap beats.Kwa maelezo hayo mafupi bila kupoteza muda nimeweka links hapa ambapo unaweza ukadownload just for free na unaweza kuanza kuzitumia drum kits hizo katika kazi zako.


Drum Kits Download
7.7 GB of free audio samples, drum loops, breaks & kits, DJ samples
Producertoolz | FL Studio Drum Kits, Fl Studio Packs, Tutorials & More
Sound Kits | Beat Production
Download Free Producer Drum Kits Sound Packs
Boi-1da Sound Kit Download | OVO Boi-1da
Sound Kits - All Free for you
FREE DOWNLOADS | Hex Loops
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…