dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Hiyo 30*40 ni mita au futi ? Plot ina hati ? Ufafanuzi tafadhariPlot ipo salasala kinzudi ina ukubwa wa 40 kwa 30
Bei 16.5m
Bei inamaongezi kidogo
Mawasiliano na kuja kuona 0756060183
View attachment 684078View attachment 684079View attachment 684080View attachment 684081
Ni Mita mkuu..hati bado, maeneo ya kinzudi huwa hati kila mtu anafuatilia mwenyewe ila hatua za awali zimeshafanyikaHiyo 30*40 ni mita au futi ? Plot ina hati ? Ufafanuzi tafadhari
Hata za awali zilizofanyika ni zipi mkuu.Ni Mita mkuu..hati bado, maeneo ya kinzudi huwa hati kila mtu anafuatilia mwenyewe ila hatua za awali zimeshafanyika
Yeah kama uhakiki w aridhi kwamba eneo kweli ni la makazi na linaweza kupimika na kupata hati, na nyinginezo za serikali za mitaHata za awali zilizofanyika ni zipi mkuu.
Salasala ni eneo tofauti na kinzudi,hakuna sehemu inaitwa salasalakinzudi!Plot ipo salasala kinzudi ina ukubwa wa 40 kwa 30
Bei 16.5m
Bei inamaongezi kidogo
Mawasiliano na kuja kuona 0756060183
View attachment 684078View attachment 684079View attachment 684080View attachment 684081
Sawa mkuu na asante kwa usahihiSalasala ni eneo tofauti na kinzudi,hakuna sehemu inaitwa salasalakinzudi!
Tshs 16,500,000/(Mita 40 x Mita 30)Ni Mita mkuu..hati bado, maeneo ya kinzudi huwa hati kila mtu anafuatilia mwenyewe ila hatua za awali zimeshafanyika
Kwa ufafanuzi huu bado kiwanja hiki tunakiuza bei rahisi, maana maeneo hayo bei elekezi ni 30,000/= par sqmTshs 16,500,000/(Mita 40 x Mita 30)
=Tshs 16,500,000/Sqm 1,200
=Tshs 13,750/1sqm
Kwenye ule mto/bonde kule mbele kuna umbali gani hadi kwenye Kiwanja??
Yeah,Kwa ufafanuzi huu bado kiwanja hiki tunakiuza bei rahisi, maana maeneo hayo bei elekezi ni 30,000/= par sqm
Mto uko mbali sana kuna umbali kama mita 150 na mbele kuna nyumba nyingine zaidi
Kweli kabisa mkuuYeah,
Reasonable, but kwa zama hizi ni bei ya kawaida