M mpikamikate New Member Joined Oct 21, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Oct 21, 2014 #1 Mashine ya kuchanganyia unga inauzwa (angalia picha) Mashine ipo katika hali nzuri imetumika kipindi kifupi tuu!inauzwa kwasababu imepatikana mashine nyingine kubwa zaidi ya 20kg. Location: Mtwara(ila inaweza ikatumwa popote pale mnunuzi anapoitaka) Inauwezo wa kuwaka kwenye umeme mdogo Capacity: 10kg Bei :Laki tisa (nakaribisha offer pia) Contacts: 0785168001 na PM kwa walioko serious. Karibuni.
Mashine ya kuchanganyia unga inauzwa (angalia picha) Mashine ipo katika hali nzuri imetumika kipindi kifupi tuu!inauzwa kwasababu imepatikana mashine nyingine kubwa zaidi ya 20kg. Location: Mtwara(ila inaweza ikatumwa popote pale mnunuzi anapoitaka) Inauwezo wa kuwaka kwenye umeme mdogo Capacity: 10kg Bei :Laki tisa (nakaribisha offer pia) Contacts: 0785168001 na PM kwa walioko serious. Karibuni.
Don Mangi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,199 Reaction score 855 Oct 21, 2014 #2 Haya asante,ngojea waje wenye kuihitaji.