Double Whatsapp Apps in 1 device

Ngachuro

Senior Member
Joined
May 25, 2015
Posts
119
Reaction score
20
It is the first time hapa..in JF
Habarini wakuu

Kama uko interested kutumia 2 whatsapps with different numbers
At first ilikua easy sana...kuna developer aliimodfy official Whatsapp akaimod kama OGwhatsapp (Osama Ghareeb!)
then after updates kama miaka miwil iv....baadae M.Zuckerberg aliamua kuban Whatsapp zote ambazo sio official ikiwemo Whatsapp plus na Og..En.
SA .but aftr hizo crashes bwana Osama Ghareeb alistaafu kuupdate Ogwhatsapp kama baada ya mwezi akajitokeza developer mwngne..he made it japo sio efficient kama Og..

Kama uko interested follow these steps.
1.Nenda official whatsapp>Settings>Chat setting>Backup Chats.
2.pakua file hili https://userscloud.com/j5jsxt6rx5ez
3.Install...kama itasema Install Blocked nenda settings>security>unknwn sources eka tik.
4.kwa sababu sio efficient sana sasa...nashaur namba ya pili ndo itumike huku..so nenda settings!>apps>afu tafta whatsapp then clear data.
5.confirm kwa namba ya pili unayotaka uitumie kwenye unofficial whatsapp.kama kunashida ya kuhamisha chip wakituma confirmation kwa smu nyngne just send sms kwa hyo device then itakikonfm
6.chat with 2 au3 friends....
7.Backup conversations.
8.nenda tena settings>apps>whatsapp>clear data then rudishia namba yako ya Mwanzo.
9.Fungua WhatsFapp uliopakua pale juu na uingize namba yako ya pili.
Then done...enjoy it.
NB:Hii ni kwa Android users tu.
Kama unaface tatzo..just ni PM tu.
 
That's y nkasema kama uko interested.......
Kuna watu wanapenda wengne hawapend.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…