ndanda masasi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 772
- 1,179
Kitu ya Arusha, Tarime, Njombe na kwingineko kama Bariadi
Kule wanakolima sana bangi mkuu.Njombe tena??
Au hata kule upareni kwenuKitu ya Arusha, Tarime, Njombe na kwingineko kama Bariadi
Upareni kule Same ni Mirungi, hahahahahahaAu hata kule upareni kwenu
Aseeh kwa hiyo 'Cha Arusha' hakifiki kule?Upareni kule Same ni Mirungi, hahahahahaha
Ngoja niwa ulize watumiaji halafu nitakupa jibu, tehe teheAseeh kwa hiyo 'Cha Arusha' hakifiki kule?
Mwulize MdeeDawa gani hii au ndo ile ya watu wa Arusha
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
IPO inalimwa mwembe kwa wingiNgoja niwa ulize watumiaji halafu nitakupa jibu, tehe tehe
Tatizo ya baridi sana ( yaani imepoa)Aseeh kwa hiyo 'Cha Arusha' hakifiki kule?
kuna eneo wanavuta kama sigara na wamezoea..kama kunusa ugoroKitu ya Arusha, Tarime, Njombe na kwingineko kama Bariadi
hhhahahaha mpaka anafanana kama huyu hapakuna eneo wanavuta kama sigara na wamezoea..kama kunusa ugoro
kuna mahali nilienda mpakani mwa kenya na somali,,kuna ndugu yake huyohhhahahaha mpaka anafanana kama huyu hapa