Dont Use Internet Explorer until may 14!!

hivi mozilla nao si wanaweza kuwa hacked kama IE? privacy
 
Last edited by a moderator:
Hivi kina watu bado wanatumia IE tu?

IE ni browser ambayo ni inbuilt kenye windows OS, labda ili kuwa precise zaidi ungeuliza hivi, kuna watu bado wsnatumia Windows OS? Wengi wa watumaji wa wndows OS's ni novice na hivyo kufikiria ku-install an alterntive browser kwenye windows wakati anaona tayari ipo inakuwa ni kazi nyingine ya ziada.
 

Unaweza kutumia Windows na siku.ya kwanza tu baada ya unboxing uka install Chrome, Firefox, Opera etc.

U novice nategemea washindwe kuinstall packages za Ubuntu kwa command line za "sudo-apt-get" na "sudo-apt-install" lakini hizi app za ku download na ku click next, next,next u novice tunausingizia.
 

Third world picha iko tofauti kabisa, hii kitu unayoongea hapa haiwezekani kwa uzoefu nilionao wa miaka kama 17 tangu nianze kuhangaika na matumizi ya PC's zenye windows OS's. Labda useme sasa hii iwe projection kwa kizazi hiki ambacho kiko chini ya smart-phone era. Otherwise kwa wengine huko nyuma haiwezekani!
 

It's a tale of two worlds.

Nilikutana na bibi karibu ana miaka sabini lakini anataka kujua mambo ya computer kaenda ku enroll katika Community College ajue some basic computer applications.

Alikuwa mchungaji anataka kuweza ku research mambo kwenye internet na kuandika sermons zake.

Kibongobongo something like that may not be an option.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…