josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 640
Mkuu kisirani kipo wapi hapo? Au unahitaji msingi wa uzi?Watu wenye visirani bhana..
Mkuu Leo weekend njoo tunywe juisi cola hapa..
Umeona la kisirani tu..? Hujaona karibu ya juisi kola..?Mkuu kisirani kipo wapi hapo? Au unahitaji msingi wa uzi?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Ccm wamesababisha jamaa awe hivyoUmeona la kisirani tu..? Hujaona karibu ya juisi kola..?
Hebu tusichoshane njoo tunywe juisi cola na skonzi hapa kuna makande pia..[emoji12]
[emoji1787][emoji1787][emoji28]duh!Umeona la kisirani tu..? Hujaona karibu ya juisi kola..?
Hebu tusichoshane njoo tunywe juisi cola na skonzi hapa kuna makande pia..[emoji12]
Wasalaam wanabodi, dhumuni la uzi huu ni kueleza kero yangu kwa watangazaji ea kizazi hiki, kero zipo nyingi ila kwa leo ni haka katabia ka kuchomekea vimaneno vya kiingereza kwenye mazungumzo yao, kauli tajwa hapo juu nmekuwa naisikia mara nyingi hasa wanapomtaka msikilizaji/ mtazamaji asibadili channel. Punde tu naangalia ITV hapa mtangazaji kanambia "don't go no where" tena kwa mbwembwe[emoji854] kwani lazima tuchomekee kiingereza?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
1:We don't do no talkingGrammatically yupo sahihi ametumia double negation japo ni grammar ya kizamani lakini yupo sahihi
Mfano unaweza sema
I haven't done nothing ikimaanisha sijafanya chochote..
Learn more keep learning
Hamna usahihi hapo.Grammatically yupo sahihi ametumia double negation japo ni grammar ya kizamani lakini yupo sahihi
Mfano unaweza sema
I haven't done nothing ikimaanisha sijafanya chochote..
Learn more keep learning
Watangazaji wengi hawana elimu ya utangazaji kwa hyo wanaropoka tu kwa kuwa wana majina fulani mtaaani basi tabtupuWasalaam wanabodi, dhumuni la uzi huu ni kueleza kero yangu kwa watangazaji ea kizazi hiki, kero zipo nyingi ila kwa leo ni haka katabia ka kuchomekea vimaneno vya kiingereza kwenye mazungumzo yao, kauli tajwa hapo juu nmekuwa naisikia mara nyingi hasa wanapomtaka msikilizaji/ mtazamaji asibadili channel. Punde tu naangalia ITV hapa mtangazaji kanambia "don't go no where" tena kwa mbwembwe[emoji854] kwani lazima tuchomekee kiingereza?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Sidhan kama ni ya kizamani, wamarekani bado wanaitumia sana hiyo "double negation"Grammatically yupo sahihi ametumia double negation japo ni grammar ya kizamani lakini yupo sahihi
Mfano unaweza sema
I haven't done nothing ikimaanisha sijafanya chochote..
Learn more keep learning