]Katika ajali hii nasikia baada ya kusababisha ajali,dereva wa hiyo gari ndogo amekimbia na hajulikani alipo mpaka picha zinatufikia!!Hivi dawa ya tatizo ni kukimbia au kulikabili?,mi naona sasa kuwe na nyavu za kukamatia hawa madereva wasio na utu,badala ya kubaki eneo la tukio,wanakimbia hii si dharau jamani!!