Unamaanisha box?
Box bei Ni around dola 100 hadi 150 most of them
Kwa code Ni rahisi ila simu nyingi huwezi kuta mteremko huo WA code utahitaji tu box
Na hizi box nyingi zinafanya kazi kwa simu za familia moja. Mfano kuna box zuri la mediatek, box zuri la simu za Samsung nk yapo ambayo Ni multipurpose ila pia hayamalizi yote