Wow!, I wonder if it's going to be within '100 days'
When everyone is really paying attention to the job performance.
Hopefully it gets better.
Tatizo lingine ni kuwa anawa bore hata Repubs walio upande wake. Hizi namba zisije endelea kushuka.
Khe kheeeeee kheeeer remember those numbers that I gave you as my prediction. Let's hope for the best but as you can see my prediction was 95% accurate. If there is no any improvement between now and then (at the end of 100 days) don't be shocked to see the worst numbers ever.
Mbona watu wako obsessed sana na Trump
Kama jana kwenye Press ya WH waandishi badala waulize mambo ya maana wao wamekazana na pictures pictures
Wamarekani ndio wadukuzi wakubwa duniani. Hakuna nchi ambayo haijadukuliwa na wao! Mwulize yule mwanamama kansela wa Ujerumani walivyokuwa wanasoma email zake!"If you dont read the newspapers you are Uniformed if you do you are Misinformed"Denzel Washington....
Conspiracy tu hizi zitapita ni kawaida ya mwanadamu kumpa mwingine lawama kwa faults zake mwenyewe
Trump hata akitoka leo the Oval office ameshaweka rekodi yake ,kasimama kwa anachokiamini na akakipata
Hivi Marekani haioni hata aibu kusema wameingiliwa na wa Russia wakati wao ndio taifa kubwa kwa kila kitu kama tunavyo aminishwa na vyombo vyao vya habari ?
Hii poll result iko manipulated ili kumdhalilisha Trump!
"If you dont read the newspapers you are Uniformed if you do you are Misinformed"Denzel Washington....
Conspiracy tu hizi zitapita ni kawaida ya mwanadamu kumpa mwingine lawama kwa faults zake mwenyewe
Trump hata akitoka leo the Oval office ameshaweka rekodi yake ,kasimama kwa anachokiamini na akakipata
Hivi Marekani haioni hata aibu kusema wameingiliwa na wa Russia wakati wao ndio taifa kubwa kwa kila kitu kama tunavyo aminishwa na vyombo vyao vya habari ?
Trumps performance will force his opponents to shut up!Khe kheeeeee kheeeer remember those numbers that I gave you as my prediction. Let's hope for the best but as you can see my prediction was 95% accurate. If there is no any improvement between now and then (at the end of 100 days) don't be shocked to see the worst numbers ever.
The polls are forced to reflect the interests of the researcher by using biased sample!Do you approve or disapprove of the way ... is handling his presidential transition?
Donald Trump (2016 Dec 7-11)
Approve 48 - disapprove 48
Barack Obama (2008 Dec 12-14)
Approve 75 - disapprove 17
George W. Bush (2001 Jan 5-7)
Approve 65 - disapprove 26
Bill Clinton (1992 Dec 18-20)
Approve -67 - disapprove 15
Based on mid-December readings; Bush's reading was his first after being named winner in mid-December GALLUP.
BAK umemuona BO alivyo shine hapo kuliko wenzake?!
And then him and Reagan are the best presidents for 70 yrs.
QU Poll Release Detail
Wewe ndio umepotea, na huyu baba(Trump) unavyompenda angalia tu asije akapote na wewe.Hehehe!, halafu wewe bora umekimbia. Nakutafuta kama sumni.
Sijui unaonaga raha gani kupotea.