Kwa Republican field ni ngumu sana kutabiri nani atakuwa flag bearer wao wakati wa uchaguzi ujao,wagombea wote watatu bado wana nafasi Kubwa.Trump atashinda ktk majimbo makubwa ya New York, New Jersey, Massachusetts, labda na Chicago na Illinois. Rubio atashinda ktk majimbo ya California, Florida, Nevada nk.Wakati Cruz anatarajiwa kulibeba jimbo Texas na majimbo mengine ya kusini.So everyone of these three candidates has his strongholds.
Kwa upande wa Democrats,japo watu wengi wanampa nafasi kubwa Hillary Clinton na sijui kwanini wanafikiria hivyo,in reality Berny Sanders anaimarika kisiasa siku hadi siku, ni tishio kubwa kwa Hillary hasa.Mbaya zaidi ni lile kundi muhimu la wapiga kura ambalo kila mtu alitegemea lingeegemea kwa Bi. Hillary limehamia kwa Sanders,hili ni kundi la wanawake. Asilimia kubwa ya wanawake hasa vijana maarufu kama millenials wanamuunga mkono Sanders. Juzi juzi hapa backer maarufu wa Hillary Clinton ambaye ni former Secretary of States under Bill Clinton administration Miss Albright aliwabwatukia wanawake kwa kushindwa kumuunga mkono mwanamke mwenzao.Hali hii imeanza kuitisha camp ya Hillary. Sanders anaungwa mkono na vijana wengi sana wake kwa wanaume,kundi hili hili ambalo lilizima ndoto za Hillary mwaka 2008 na kumpeleka Barack Obama ikulu ndilo linalomuunga mkono Sanders leo.Think about it.