Huyu babu juzi aliwazingua wale wachezaje kuwaita SOB, baada ya wao kupiga goti wakati wimbo wa taifa ukiimbwa kabla ya mechi kuanza.
Alipata upinzani mkali sana lakini alisimamia anachokiamini naona hadi jana waliobaki na msimamo wao wa kupiga goti ni wachache sana.
Barack Obama yeye alisema ni haki yao hivyo nikama alikuwa pro players na hakuweza kukemea hali hiyo.
Donald ni mtu ambaye akiona kitu hata kama jamii itamuona chizi, fala mjinga atakisema tu na hiyo ndio njia pekee y kuleta mabadiliko unayoyataka.
Wanasiasa wetu wana cha kujifunza hapa.