M mpanja New Member Joined Nov 1, 2011 Posts 1 Reaction score 0 Nov 1, 2011 #1 kwanini tunakubali kutumia dalla na kuzika shiringi yetu. afu eti tasherekea miaka 50 ya uhuru. uchumi wetu unaelekea wpi na hii miaka 50
kwanini tunakubali kutumia dalla na kuzika shiringi yetu. afu eti tasherekea miaka 50 ya uhuru. uchumi wetu unaelekea wpi na hii miaka 50
Tangawizi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 8,076 Reaction score 8,945 Nov 1, 2011 #2 uchumi wetu unamilikiwa Bombay