DOKEZO KWA WANAUME (2)

MimiKijana

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2018
Posts
265
Reaction score
243
[emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497]

[emoji257] *Mwanamke hupenda kusikilizwa.* [emoji257]

*Japokuwa mume ni kichwa au kiongozi wa mke na familia lakini pia mpe mke wako uhuru na nafasi kubwa ya kukushauri, kukupa wazo au mawazo ya kufanya jambo fulani pia ukiona huo ushauri haufai au hilo wazo halifai usimkatishe kauli kwa ukali bali muoneshe kuwa umelipokea na utalifanyia kazi muda wake ukifika mke wangu kipenzi. Ukifanya hivyo basi utafurahia mwenyewe.*
[emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497]

[emoji257] *Mwanamke huthamini sana messages za mume wake kuliko simu apigiwayo na mume wake* [emoji257]

*Maana huona faraja zaidi pindi asomapo messages hizo zaidi ya kusubiri apigiwe au akupigie. Mume jitahidi sana kumtumia messages za kuonesha upendo mke wako hasa ukiwa nae mbali mfono kazini ukipata muda kidogo walau kwa uchache unamtumia message wamwambie "Nimekumiis tende yangu usioisha hamu, nakupenda sweetie wewe ndio utamu wangu" ukiwa unafanya haya utakuja nipa majibu wewe mwenyewe.*

[emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497][emoji497]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…