Does the UK conceal the World.?

Tatizo liko kwenye mtenda na mtendewa sijui walikuwa wanaziita passive na active nouns. Unaposema "does the UK conceal the world" yaani unamaanisha kuwa UK ina kitu cha kuweza kuuhifadhi ulimwengu halafu ukawa umefichwa na hicho kitu kiasi kwamba watu hawataweza tena kuuona ulimwengu, sababu utakuwa umefichwa na UK kwa kutumia kitu chenye uwezo huo wa kuuficha ulimwengu usionekane na watu. Hii ndiyo maana halisi ya kile ulichoandika,.. was that what you really meant?

You could either be wrong the same way kama ungetumia neno hide, in a similar combination of words. Nalo pia lingeleta tatizo lile lile. Kwa hiyo tatizo haliko kwenye neno conceal lenyewe, ila ni katika neno hilo kukosa viunganishi sahihi kwenye sentensi yako ambavyo vingelifanya neno hilo kuleta maana sahihi uliyokuwa umeikusudia

Still, sentesni yako iko sahihi kama ukimtafsiria mtu kwa Kiswahili, ambaye hajui Kiingereza au ambaye anajua Kiingereza ila hajaisoma senntesi yako ya Kiingereza
 
Mkuu wewe kiingereza hukijui, Kama unajua hebu weka Sentence nzima iliyopaswa kuwa grammar English, kuliko kuandika maneno mengi ya kukosoa bila point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe kiingereza hukijui, Kama unajua hebu weka Sentence nzima iliyopaswa kuwa grammar English, kuliko kuandika maneno mengi ya kukosoa bila point

Sent using Jamii Forums mobile app

"I'm take this girl to Hospital, if Police come, tell him Chonya of Chilonwa, me"

Possibly "hide something from the world", "conceal something from the world"
 
"I'm take this girl to Hospital, if Police come, tell him Chonya of Chilonwa, me"

Possibly "hide something from the world", "conceal something from the world"
Ndo nini sasa, ukosoaji wako ulijikita kwenye neno "conceal " kuongeza neno "something "na "from" hakuhalalishi ukosoaji wako.
Unalazimisha kukosoa kisichokosoleka.
Na huwezi kutumia "conceal "kwa maana ya kuhifadhi Kama ulivyosema.
Na utambue kuwa kuna tofauti kubwa Kati ya conceal na hide ndo maana Hayo maneno hayafanani, ni sawa na utofauti wa "run "na "trot ",sasa wewe unataka kufananisha "conceal "na hide kwa kutoa maana moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sheki sana wewe jamaa... I'm afraid unaweza overdose mwanao kwa vidonge... Inabidi daktari akusimamie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…