Dodoma: Wanahapana wagoma, Kamati yaachwa marikiti

Unaongelea nani! Kessy? achana na huyo takataka mnafiq mkubwa. Ameshindwa hata kuvipigia kura ya HAPANA Sura ya 1 na 6 inayopendekeza muundo wa S2, wakati yeye ni "muumini" wa S3

Halafu leo huyo Yuda Isikarioti ndio unamuona ni role mode wako!

kESSY NI MJINGA MCHANGAMFU HANA LOLOTE.
 

kwi kwi kwi! na tena kodi za watanzania wote ndio zimetumika aache kauli kuwa wana hapana hawajachangia hata thumni
 
Ni yeye mwenyewe...hata Tanzania Daima wamechapisha hii karatasi na Sitta amekiri kwamba aliandika ila amejitetea kipuuzi puuzi tu kama mwenyewe alivyo mpuuzi !

Oooooh na kapicha na kapicha hako sasa!
Haya mtuthibitishie hiyo ndo hati ya Six kwa wanaoijuwa?
Kumbe jamaa naye mwadiko alifeli eeeh!
 
Nilikua sijui kwamba wajumbe wakipiga kura ya hapana huwa inaundwa tume kuwauliza kwa nini wamesema hapana!.Mbona hakuna tume ya kuwauliza watu waliosema ndio?. Mnaojua taratibu tujuzeni.
 

Nimeipenda hii verse............................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…