Hao wazanzibar wasiende huko kwenye kamati watang'olewa kucha bure!
Sita anajifanya kama hawajui wazanzibar, hakuna watu wenye msimamo kama wazanzibar.......ndio wakome kuchakachua matakwa ya wananchi
Kamati ya Maridhiano nayo ikagomewa.Wazanzibari wamesema wao wameshasema HAPANA na hawatasema NDIYO kwa vyovyote vile. Mwenyekiti Sitta amearifiwa kuwa Kamati ya Maridhiano iliishia kusubiri bila wahusika kujitokeza.Vimesikika viapo vya kutorudi nyuma.Hapa Dodoma mambo ni moto.Kila mmoja anasema na kushauri lake. Njiapanda. Tutokaje?
Intelijensia inaonesha kuwa kura za HAPANA za wazi na siri zimeshakwamisha akidi ya kupitisha Rasimu iliyopendekezwa na Kamati ya Chenge. Ndiyo maana Kamati ya Maridhiano iliundwa haraka sana kusaka maidhiano ya kiakidi.Lakini,Wazanibar wameapa kulinda kura zao za HAPANA walizozipiga sirini na bayana. Njiapanda. Tuamue kuelekea wapi?
Tafadhalini Wazanzibari,tuokoleeni Rasimu hii ili,kama chama tawala,tupate cha kusema kwa watanzania. Tutasemaje mambo yakibaki hivi yalivyo?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam (kwasasa Dodoma kurudi Dar)
mnasherehekea nini. mnadhani hao wajinga wanaopiga kura kwa maelekezo ya mabwana zao watakwamisha katiba? mtu hajachangia hata thumni, mwanzo hadi mwisho halafu kura anakurupuka 'hapana'. kwa msingi huo ikibidi kanuni zirekebishwe, nusu tu, katiba inapita.Mashujaa wote duniani ni wale waliosimamia wanachokiamini, hawayumbishwi kwa rushwa wala vitisho. HALIOSEMA HAPANA NI MASHUJAA WATAKAO INGIA KWENYE VITABU VYA HISTORIA. Hongereni sana WanaHAPANA.
safari hii limepitiliza mpaka limempata MBUNI.Dua la kuku limempata mwewe
Z'bar! Z'bar! Uzuri wa Z'bar ufahamu wa kisiasa ni mkubwa ukilinganisha na bara. Mtu wa Z'bar akishasema HAPANA ni vigumu kumuhonga milioni ili aseme NDIYO. Upande wa bara, Ni rahisi kumuhonga ulanzi akasema kinyume na mapenzi yake.
..........................mnasherehekea nini. mnadhani hao wajinga wanaopiga kura kwa maelekezo ya mabwana zao watakwamisha katiba? mtu hajachangia hata thumni, mwanzo hadi mwisho halafu kura anakurupuka, sura zote vifungu vyote 'hapana'. kwa msingi huo ikibidi kanuni zirekebishwe, nusu tu katiba inapita.
Wenye namba za simu za hao mashujaa wekeni hapa ili tuwapigie kuwapa moyo wa kusimamia msimamo wao wa kura ya hapana
mnasherehekea nini. mnadhani hao wajinga wanaopiga kura kwa maelekezo ya mabwana zao watakwamisha katiba? mtu hajachangia hata thumni, mwanzo hadi mwisho halafu kura anakurupuka 'hapana'. kwa msingi huo ikibidi kanuni zirekebishwe, nusu tu, katiba inapita.
Sio hilo tu hata kiwango cha elimu kwa Zanzibar kiko juu ukilinganisha na Tanganyika a.k.a Tanzania Bara. Hata ukitafuta develepment indicators mbalimbali Zanzibar wako mbele sana ya sisi.
Unajua hata uhuru wa kupewa pewa kama maandazi nao umetuathiri.akili zimejaa vumbi.Ila wenzetu walitumia upanga sultani akakimbia.so wanajitambua kitambo sana.
mnasherehekea nini. mnadhani hao wajinga wanaopiga kura kwa maelekezo ya mabwana zao watakwamisha katiba? mtu hajachangia hata thumni, mwanzo hadi mwisho halafu kura anakurupuka 'hapana'. kwa msingi huo ikibidi kanuni zirekebishwe, nusu tu, katiba inapita.
mnasherehekea nini. mnadhani hao wajinga wanaopiga kura kwa maelekezo ya mabwana zao watakwamisha katiba? mtu hajachangia hata thumni, mwanzo hadi mwisho halafu kura anakurupuka 'hapana'. kwa msingi huo ikibidi kanuni zirekebishwe, nusu tu, katiba inapita.
Kamati ya Maridhiano nayo ikagomewa.Wazanzibari wamesema wao wameshasema HAPANA na hawatasema NDIYO kwa vyovyote vile. Mwenyekiti Sitta amearifiwa kuwa Kamati ya Maridhiano iliishia kusubiri bila wahusika kujitokeza.Vimesikika viapo vya kutorudi nyuma.Hapa Dodoma mambo ni moto.Kila mmoja anasema na kushauri lake. Njiapanda. Tutokaje?
Intelijensia inaonesha kuwa kura za HAPANA za wazi na siri zimeshakwamisha akidi ya kupitisha Rasimu iliyopendekezwa na Kamati ya Chenge. Ndiyo maana Kamati ya Maridhiano iliundwa haraka sana kusaka maidhiano ya kiakidi.Lakini,Wazanibar wameapa kulinda kura zao za HAPANA walizozipiga sirini na bayana. Njiapanda. Tuamue kuelekea wapi?
Tafadhalini Wazanzibari,tuokoleeni Rasimu hii ili,kama chama tawala,tupate cha kusema kwa watanzania. Tutasemaje mambo yakibaki hivi yalivyo?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam (kwasasa Dodoma kurudi Dar)
Kejeli na ubabe hauwezi kuendesha nchi kistaarabu. Hivi kungekuwa na maridhiano toka pale UKAWA walipotoka nje haya yote yangetokea? Matusi na vijembe kwa Warioba na viongozi wengine wa UKAWA yasingekuwepo hali ingefikia hapo ilipofika?
CCM haitaki kujifunza kuwa hizi ni nyakati zingine sio zile za "kidumu chama tawala"