john mshuwa Member Joined Aug 12, 2015 Posts 17 Reaction score 2 Oct 24, 2015 #21 Somuda wakumuogopa askali,jali haki yao.askali mlinzi tu ucihangaike nae
Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,551 Oct 24, 2015 #22 Si kosa kuwa mitaani labda kama wakikushambulia bila hatua ndo tutahamasika kwanini, lakini eti wako mtaani na wewe unakosa amani? unakosaje amani wakati wewe ni raia mwema na huna hatia? acheni upimbi wenu nyie Ukiwa
Si kosa kuwa mitaani labda kama wakikushambulia bila hatua ndo tutahamasika kwanini, lakini eti wako mtaani na wewe unakosa amani? unakosaje amani wakati wewe ni raia mwema na huna hatia? acheni upimbi wenu nyie Ukiwa
S SHABANIMAVOCHA JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 320 Reaction score 65 Oct 24, 2015 #23 Ni wakat wa mabadiliko