Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
kama hao wakazi wa Dodoma watakuwa na misimamo ya kuindelea kuishabikia CCM wataendelea kuburuzwa milele.
Mkuu umenikumbusha mbunge mmoja wa ccm akichangia bungeni juu ya tatizo la njaa dodoma, alisema wenye shida wapelekewe Mtama badala ya mahindi kwani selekali huwahamasisha kulima Mtama, jambo lililo wakasrisha wana dodomakama hao wakazi wa Dodoma watakuwa na misimamo ya kuindelea kuishabikia CCM wataendelea kuburuzwa milele.
Jamani hali ni mbaya sana hapa mkoani dodoma polisi waliovalia kivita mithiri ya robot vile wamemwagwa mtaani utafikiri kuna hali ya hatari mkoani hapa.
Cha kushangaza watu wanajiuliza hii yote kutisha watu ni kwa faida ya nani? ili iwe nini??
Kamanda wa polisi mkoa Bw. Misime na mkuu wa mkoa Bi. Galawa kwa matamshi mbalimbali wamekuwa wakitamka matamshi mbalimbali kuashiri kuna jambo wameagizwa,
Nimeshindwa hata kuwapiga picha kwa kuhofia kukamatwa, watanzania katika mji huu hawana amani kabisa
Nina mashaka kama itafika saa kumi na mbili jioni kukawa na watu mitaani.
Vyombo vya habari tunaomba muumlike mko wa Dodoma kwa jicho la tatu
Mungu Wabariki watanzania
Mungu ziinue imani zao kwa wale wawapendao

Ni najionea kawaida mkuu nimepishana nao hawana hata tabu na mtu waache watulinde wanalipwa kwa kazi hiyo,sitegemei kuvunja sheria baada ya kupiga kura najipumzikia zangu home watanipatia wapi,we we mvunja amani wasiwasi kibao.
wameagizwa na watanzania kuilinda amani na kulinda Raia na mali zao.Jamani hali ni mbaya sana hapa mkoani dodoma polisi waliovalia kivita mithiri ya robot vile wamemwagwa mtaani utafikiri kuna hali ya hatari mkoani hapa.