Umma hauna nguvu ya kushinda jeshi hata siku moja,na katika nchi yoyote."Wee nenda, hautuhusu, hatujakuchagua, ingia kwenye gari yako uondoke...". Maneno mazito kweli kweli. Eh, hata Dodoma? Watapata sana taabu kwa unyang'anyi wao. Yaani, yaani.... ngoja tuone kati ya umma na jeshi nani ana nguvu. Bila shaka mwisho wao utakuwa mbaya sana kama ulivyo mwisho wa madikteta wote.
CCM kama ni mgeni ambaye amekwishapitisha siku zake za kuwa mgeni lakini hajitambui. Hata mkifanya mema vipi, kama watu wamekwisha wachoka haitasaidia. Mtajenga sana mabarabara, mabwawa, SGR... lakini hayatawaingiza katika mioyo ya watu. You have overstayed. Mtatakiwa kuiba kura tena 2025.
Waseme yoote kunguururu hao, kwanza wakavae barakoa wastay home watuache na Tanzania yetu, amani kama kawaida.Waangalizi maandazi hao na tabia wanafanana.
Sasa angalia "Tanzania Election Watches" Walivyosema hapo chini[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1617034View attachment 1617035View attachment 1617036
Hahahah ila jamaa unachukia ccm kinoma, pole asee chama chenyewe miaka yote ndo kinashinda tu, pole asee.Eti CCM bila Aibu bila kumuogopa mungu wapo wanaosherekea eti ushindi, hapo ndipo utajua makao makuu ya shetani Duniani ni CCM
Kwangu mimi hapa ninapata maswali zaidi kuliko majibu! 1.Kama ni kikao Mhe.Anthony Mavunde Mbuge mteule kakiita mwenyewe mimi nisiyemtaka sitakwenda kwenye kikao hicho maana nina hiari ya kwenda au kutokwenda 2. Kwa nini niitike wito harafu nikafanye fujo?! Mimi ninahisi washindani wake walikwenda makusudi ili wakavuruge kikao chake! Hii siyo sawa, unless kuna maelezo ya ziada. Inajulikana hakuna aliyepata ushindi wa asili 100, walioshindwa wakubali matokeo, ndiyo ustaarab!Habari wakuu!
Jana, Oct 30 2020 Mbunge aliyeshinda jimbo la Dodoma mjini kwa tiketi ya CCM, ndugu Anthony Mavunde ameshindwa kuongea na wananchi wa Dodoma mjini baada ya kundi kubwa kuanza kumzomea.
Kitu hicho kilimpelekea kuingia kwenye gari na kuondoka kwa aibu kubwa.
Wananchi hao walisikika wakisema " WE NENDA, HATUKUTAKI , HATUJAKUCHAGUA, PANDA GARI UENDE ZAKO"
Hali iliyozua maswali mengi mtandaoni kwamba inakuwaje kuzomewa na kundi kubwa vile tena kipindi alipoenda kutoa shukrani kuchaguliwa?
Hii inaashiria nini tuendako? Na Dodoma si ngome ya CCM?
Je, wananchi wanatuma ujumbe gani kwa hili tukio?
Kusema wenye nchi ni wananchi?
Nisiwachoshe kwa maswali tazama mkasa mzima hapo chini.
View attachment 1616367
Eti tukopy Kenya nenda wewe kacopy kama itakusaidia au umeambiwa nchi hii ilipata uhuru kwa kukopy?staili hatukumtoa mkoloni kwa vita hiyo miaka ya 60 aliondoka kwa staili hii hii na ndivyo atakavyo ondoka mkoloni mweusi ccm.Kwanini msiwe wabunifu hata kukopy kwa nchi jirani mf. Kenya?
We utakufa kwa kupigwa paipuMtakufa na stress bure.
Haya!We utakufa kwa kupigwa paipu
Ili tukio lilitokea kabla ya uchaguzi.Lakini mleta mada anasema baada ya uchaguzi.Halafu ni watu wachache tu waliokuwa wanafanya Fuji.Moderators taratibu watu wanaanza kushusha credibility ya Jf.Toeni taarifa za uwongo.Mbinu ile ile ya Wapinzani....."Rweikiza azomewa....", "JPM azomewa Bukoba..." aina hii ya 'siasa' itawachukua miaka mingine 100 kupewa uongozi..!
Kwanini msiwe wabunifu hata kukopy kwa nchi jirani mf. Kenya?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Sasa, sasa, saa ccm kwisha habari yao. Kwahiyo, kwahiyo kwahiyo tusitafutane ubaya. Mi naanda mawe mengi ili niingie nayo uwanjani wakati jpm atakapokuwa anaapiswa ili, ili, ili nimdungue
Kumbe Unamaanisha nguvu ya kutype nyuma ya keyboard,kama unavyofanya wewe hapa jf kila sikuUsiwe mjinga. Nguvu ya umma siyo ya vifaru na risasi.
Benki ya dunia imeahidi kutoa pesa zaidi kwa ajili ya kusukuma maendeleo, wewe endelea kuota.Miaka 5 mateso jasho damu....vikwazo
Habari wakuu!
Jana, Oct 30 2020 Mbunge aliyeshinda jimbo la Dodoma mjini kwa tiketi ya CCM, ndugu Anthony Mavunde ameshindwa kuongea na wananchi wa Dodoma mjini baada ya kundi kubwa kuanza kumzomea.
Kitu hicho kilimpelekea kuingia kwenye gari na kuondoka kwa aibu kubwa.
Wananchi hao walisikika wakisema " WE NENDA, HATUKUTAKI , HATUJAKUCHAGUA, PANDA GARI UENDE ZAKO"
Hali iliyozua maswali mengi mtandaoni kwamba inakuwaje kuzomewa na kundi kubwa vile tena kipindi alipoenda kutoa shukrani kuchaguliwa?
Hii inaashiria nini tuendako? Na Dodoma si ngome ya CCM?
Je, wananchi wanatuma ujumbe gani kwa hili tukio?
Kusema wenye nchi ni wananchi?
Nisiwachoshe kwa maswali tazama mkasa mzima hapo chini.
View attachment 1616367
Acha vikwazo vije kuliko Kuamrishwa na akina Amsterdam,hatutaki na hatujazoea ujinga huu . Hawajatupa pesa ya uchaguzi ni pesa yetu wenyewe kwa hiyo acha tuteseke. Na wala siyo kuteseka ni kufanya kazi ili uishi kuliko kutegemea kupewe .Kuna siku utaamrishwa ufanye ya aibu kama ambavyo Zitto na Membe walivyokuwa wanatangaza 'bata' baada ya ushindi wao na kuongoza nchi.Hilo bata lingewatokea puani.Mngevuliwa mpaka nguo za ndani .Unaogopa nini vikwazo wewe ni mwanaume ? au ulitahiriwa hospitalini ?Miaka 5 mateso jasho damu....vikwazo
Sijua wanasheria wetu wako wapi, hivi hiki kipengere sijui kama huwa hawaoni kama ni unconstitutional maana kina breach fundamental rights and Freedoms guranteed under the law. The right to free, fair and credible election. Kwenda mahakamani na kuomba muongozo wa hii breach of fundamental rights and freedom sio ku-question legitimacy of presidential elections results. Kwa maana nyingine kama kuna breacheas yeyote ya hiyo fundamental freedoms, athari yake ni kufutwa kwa matokeo yote ya uchaguzi bila mkwaruzo...cha kutakiwa ni kwenda tu mahakamani kusema kwamba NEC wame- breach fundamental rights and freedoms zinazohusiana na uchaguzi juu ya free, fair and credible election na sio mambo mengineyo... tuone mahakama itasimamia upande gani kama inakubaliana na breaches hizo za fundamental rights and freedom za uchaguzi...Wanasheria, amkeni na changamkeni...hata UN sec council iliwahi kubwagwa na mahakama ya ulaya- someni Kadi case 1-2- summary yake ni hii: Kadi Case – Constitutional Core Values and International Law – Finding the Balance?Meanwhile, under the Constitution, the legitimacy of presidential elections results cannot be questioned in any court of law regardless of the irregularities, illegality or fraud, leaving civil disobedience as the only way to reject flawed poll results.
My take.
Go out tomorrow for a nationwide protest.
Kelele zote kumbe twategemea Mabeberu? Wakikata mkono je?Benki ya dunia imeahidi kutoa pesa zaidi kwa ajili ya kusukuma maendeleo, wewe endelea kuota.
Yaani tupate vikwazo kwa ajili ya waroho wa madaraka wachache?Acha vikwazo vije kuliko Kuamrishwa na akina Amsterdam,hatutaki na hatujazoea ujinga huu . Hawajatupa pesa ya uchaguzi ni pesa yetu wenyewe kwa hiyo acha tuteseke. Na wala siyo kuteseka ni kufanya kazi ili uishi kuliko kutegemea kupewe .Kuna siku utaamrishwa ufanye ya aibu kama ambavyo Zitto na Membe walivyokuwa wanatangaza 'bata' baada ya ushindi wao na kuongoza nchi.Hilo bata lingewatokea puani.Mngevuliwa mpaka nguo za ndani .Unaogopa nini vikwazo wewe ni mwanaume ? au ulitahiriwa hospitalini ?
Mbinu ipi au unaropoka tu unajua Kenya waliamua kumwaga damu sababu ka hizi hizi za maccm kupora uchaguz,huu Ni mwanzo tuMbinu ile ile ya Wapinzani....."Rweikiza azomewa....", "JPM azomewa Bukoba..." aina hii ya 'siasa' itawachukua miaka mingine 100 kupewa uongozi..!
Kwanini msiwe wabunifu hata kukopy kwa nchi jirani mf. Kenya?