mdau nashukuru sana sana na hilo ni wazo zuri sana sana!je kuna mtu unaemjua hapo mkubwa unaeweza kuniunganisha nae kaka?? Nitashukuru sana sana!!kaka kwa ufaham wangu mimi hzo ishu znalipa sana kwa kuwa maofis meng yana2mia mfumo wa hard copy so kuwapa mfumo mpya wa data treatment nafkiri ni idea nzur.kampuni nayojua mie ni datavision inafanya kaz kama ulichoandika juu hapo au wewe upo juu zaidi.kaka nakushauri "muibe" mfanyakaz m1 wa hapo data vision akupe kila detail kuhusu mchakato huo then utapata kujua unayotaka kujua. Umenielewa mkuu?
kulwa,
unaweza pia kuangalia market ya individual users kwani hao pia wanahitaji hii service, especially ya kuhifadhi nyaraka muhimu nf. Title deeds, birth certificates nk. Kama unavyofahamu, karatasi baada ya muda fulani na environment condition huanza kuharibika. Hapo ndipo service kama hii ya ku'digitize hizo documents inaweza kuwa ya msaada kuhidafhi "picha" ya hizi nyaraka. Pengine unaweza kuongeza service ya "climate controlled" storage ya hard-copies for the customer.
Angalia hizi softwares
documentum
captiva
all the best...
Content Management Systems, unaweza kuangalia open-source (Joomla inayo hii kitu I think) offerings zilizopo kama zinaweza kutumika. Pia hizo hardwares (scanners) na software (OCR software) utakazohitaji na functionality zinazokuwa nazo, Hapo pia utahitaji jinsi ya ku'link hizo systems zako seamlessly kuwa, unapo'scan document, kuna operation itakayoiweka kwenye CMS.
Wataalamu, jitokezeni....
kulwa: Sent you a private message...
coseke have been doing this for more than 10 years now. Ingawa wao hawana cloud based storage. Kwa sasa kidogo watu wanaanza kuelewa haya mambo na workflows. I predict the industry to grow very rapidly. Coseke ni partner wa na wanauza products za kampuni ya marekani inaitwa global360. Ni expensive. Ukija na solution hii hakika utafanya biashara. Ni pm for more details.
mkuu ahsante sana nime ku pm mkuu check it!
Wadau bado naendelea kupokea mawazo yenu na miongo zaidi
Hiyo ni kweli lakini itachukua muda kdogo kwa hilo kutokea kwa nchi kama zetu hizi.Kuenea kwa Cloud Computing technology kutasababisha soko la IT kufa na kuwaacha baadhi ya wanafunzi na wafanyakazi wa kitengo hicho kubaki njia panda bila ya kujua nini cha kufanya!
Ni bora uangalie ni nani atakaye athirika zaidi kati ya Mwajiri na mwajiriwa.
Mkuu achana na mambo ya pm bwana, weka hapa hadharani, hata mimi nimevutiwa na hii teknolojia aisee!COSEKE have been doing this for more than 10 years now. Ingawa wao hawana cloud based storage. Kwa sasa kidogo watu wanaanza kuelewa haya mambo na workflows. i predict the industry to grow very rapidly. Coseke ni partner wa na wanauza products za kampuni ya marekani inaitwa Global360. Ni expensive. Ukija na solution hii hakika utafanya biashara. ni pm for more details.
Kulwa: Sent you a private message...
nahitaji sana kufanya hii biashara huko tzKaka kwa ufaham wangu mimi hzo ishu znalipa sana kwa kuwa maofis meng yana2mia mfumo wa hard copy so kuwapa mfumo mpya wa data treatment nafkiri ni idea nzur.Kampuni nayojua mie ni DATAVISION inafanya kaz kama ulichoandika juu hapo au wewe upo juu zaidi.Kaka nakushauri "muibe" mfanyakaz m1 wa hapo data vision akupe kila detail kuhusu mchakato huo then utapata kujua unayotaka kujua. Umenielewa mkuu?
sijakuelewa hapa, hebu fafanua mkuuKuenea kwa Cloud Computing technology kutasababisha soko la IT kufa na kuwaacha baadhi ya wanafunzi na wafanyakazi wa kitengo hicho kubaki njia panda bila ya kujua nini cha kufanya!
Ni bora uangalie ni nani atakaye athirika zaidi kati ya Mwajiri na mwajiriwa.