Doctors Vs Engineers

,Mkuu inaonyesha katika professionals hizi mbili bado hujui kwa Mapana zaidi maana umetoa mifano ambayo ni very Minor.
 
Mimi simo ktk field zote hizo, ila ningekuwa nimo huko, huwa najifikirisha tu, kipi kingenitofautisha mimi injinia mwenye digrii yake na yule aliyeivishwa VETA au kitaa? Mimi ningeuonesha kwa kuleta ubunifu ktk kuyakabili mazingira yanizungukayo.

Hainiingii akilini kuwa na maprof. Mainjinia halafu akina mama wanagonga kokoto kwa nyundo hadi leo, tooth sticks zinatoka nje, usomi wetu uko wapi?

Hata viwanja vya mpira, ndege, barabara, majengo wahandisi watoke nje? Nilitaraji muungane mlete ubunifu huu, tunashindwa na wa mtaani wanajaribu kuunda hata magari yao, UD maprof nini mnafanya miaka yote hii?
 
Mkuu umekuja na hoja nzuri lakini kabla hujafikiria uko tuanze na mfano mdogo tu.
Hawa waliokuja na ubunifu wa kutengeneza Gari,Helicopter nk,waliishia wapi?
Ukishapata jibu, ndo tuje
kumfahamu anayeitwa Mhandisi (Engineer).
 
Mkuu umekuja na hoja nzuri lakini kabla hujafikiria uko tuanze na mfano mdogo tu.
Hawa waliokuja na ubunifu wa kutengeneza Gari,Helicopter nk,waliishia wapi?
Ukishapata jibu, ndo tuje
kumfahamu anayeitwa Mhandisi (Engineer).
Hata mimi huwa najiuliza, wakati mwingine huwa nahisi labda kuna sera za kimataifa zinatupa kibano tusifanye ugunduzi, lakini hii hoja imekosa mashiko siku wanafunzi wa uhandisi wa Makerere walipobuni gari lao. Haya nisaidie ndugu, kisa kipi haswa?
 
Hata mimi huwa najiuliza, wakati mwingine huwa nahisi labda kuna sera za kimataifa zinatupa kibano tusifanye ugunduzi, lakini hii hoja imekosa mashiko siku wanafunzi wa uhandisi wa Makerere walipobuni gari lao. Haya nisaidie ndugu, kisa kipi haswa?
Mpaka hapo unaweza kuwa na jibu na si swala la kufikiria kuwa labda Sera za kimataifa zinatunabana.

Zaidi ya hapo endelea kutafakari kwa kina hasa katika mfumo wa Nchi yetu ulivyo na kwanini hatufikii hayo malengo uliyoyasema awali.
 
Mpaka hapo unaweza kuwa na jibu na si swala la kufikiria kuwa labda Sera za kimataifa zinatunabana.

Zaidi ya hapo endelea kutafakari kwa kina hasa katika mfumo wa Nchi yetu ulivyo na kwanini hatufikii hayo malengo uliyoyasema awali.
Ndo maana hapo awali nilisema, pasi kuishirikisha serikali, mainjinia wa field moja, wakajikusanya kwa vimitaji vyao vichache, hata wakaanzisha kuchangisha wadau, hata wananchi tu wakawaida, kama plan itaonesha realistic, watu watachanga tu.

Ningekuwa ni wa field hiyo, ningeanzisha chuo cha mtaani kisichotoa vyeti bali ubobezi ktk field tu, wenye vipawa mbalimbali wakakusanyika pamoja na wataalamu wa kishule, wakawa wanakuza vipaji na kuibua ugunduzi mpya ktk field, hili linawezekana kabisa kukiwa na nia.
 
Hizi kauli mnaziongea sana Pengine kwa kusikia juu juu tu ila kiuhalisia ivo vitu kama Pini,Sijui toothstick na vinginevyo Kuna viwanda vidogo vidogo vinaitwa Sido vina zalisha kuanzia chini kabisa mpaka product kutokea tu sio hivo tu mpaka various machine zinakuwa designed na hao Sido Shida kubwa ni kuwa Taifa letu kipaumbele ni Siasa wacha tumpe muda huyu mkemia aliepigia debe Tz ya viwanda, Halafu mtu wa Veta huwezi mfananisha na Mhandisi kivyovyote uhandisi ni Zaidi ya Kufanya vitendo Kuna designing and analysis ya system kubwa wa Veta hapo hata umpe limchoro anaweza asijue linahusu nini, Afu ukiona kuna Project fulani labda ya barabara Halafu contract kapewa mchina ni sio kwamba wazawa hawawezi hapana Wazawa wanaweza sana na unakuta wameajiliwa ktk kutekeleza hio project kuna tofauti ya mkandarasi na mhandisi, kwanza hizo huge project kama road construction zinahitaji mhandisi awe stable financial kuanzia Heavy Gadgets mpaka Feza mana serikali huingia nae contract sio kwamba wanamlipa hapo hapo no unaweza pewa advance au usipewe kabisa uanze kwanza sasa engineer wa Tanzania shida ni kubwa ktk mitaji ya uwepo wa vifaa vya kutendea kazi ndio mana contract nyingi wanasaini hao wa nje
 
Nimeshauri waungane, wakuze mitaji na field yao. Au nao wenyewe hawakiamini walichokisomea au hawajiamini wenyewe, wanajivinjari tu na siasa taaluma pembeni.

Hivi akipelekewa mzee Mengi, Rostam au Barkresa plan nzuri yenye kuja kuingiza mapesa mengi, atashindwa kujiunga nanyi? Haya hao sido, mnasaidiana nao kiaje?

Mtaani kuna watu na wakubwa kwa watoto, tunawaita watundu... Wabunifu, hilo kundi linakufaa pasi kutumika akili zao sisi tukoje? Pesa kisiwe kisingizio, hamjaamua kuzisaka ama kuzirise.
 
Fani zote zinategemeana Dr hawezi Fanya kitu bila kifaa kilichotengenezwa na Engineer na huyo huyo Engineer Akipata ttzo kiafya hawezi tibiwa kwa mitambo ataenda kwa Dr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…