Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,394
- 10,836
mkuu kwani kwenye huu uzi umeona alama ya kuuliza sehemu yoyote?duuuuuh!!sasa umeshajijibu mwenyewe umeanzisha thread ya nini?
hahahah! sio promo ni mtazamo tu! mbali na hapo walimu ndio kila kitu lakin sirikali aielewi sijui!!!Madaktari washapewa promoooo haya sasa na sisi walimu je?
Safi sana, mleta mada hata kifaa alichotumia na means ya kuleta ujumbe wake hapa hajui kama ni kazi ya engineering.Ninafahamu watu wengi waliokua na ile kitu ya mzunguko lakini baadae wakajiendeleza na kuwa madktari
Udaktari ni practicle tu.
Engineering ndio ulimwengu.
Engineer ni lazima awe na akili ya ziada.
Engineer ni lazima awe mbunifu pia. Akili ya Engineer ni lazima iwe na wepesi wa kuoanisha kitu.
Hivi unaweza ukamjaji kwa kiwango kipi Engineer anayebuni na kudesign chombo cha kwenda anga za juu. Kwanza anadesign chombo ambacho ni kikubwa na kinachohitaji matrilion ya pesa na ambacho kikikosewa kidogo kinaleta hasara kubwa sana na madhara makubwa sana.
Sasa mtu unaposema kuwa Daktari anatakiwa awe smart zaidi ya Engeener unashindwa kugundua kuwa Engineer akikosea mfano kwenye Kipuri cha Nyuklia madhara yake ni makubwa sana kwenye jamii kwa wakati mmoja.
Hata mitambo wanayotumia madktari kama MRI ,CT scan n.k. ikikosewa na maengineer walioidesign haiwezi kutoa vipimo sahihi.
Daktari atageuka kuwa mganga wa kienyeji endapo tu atakatazwa au ataacha kutumia vifaa au vyombo vilivyotengenezwa na maengineer.
Bila kuwa na maEngineer duniani hata fani ya udaktari itarudi kama enzi za mababu mana haitakua na vifaa vya kisasa ,mazingira ya kisasa na maisha ya kisasa ambavyo ni kazi ya maengineer katika ulimwengu huu.
Engineer ni habari nyingine kabisa usiiangalie juu juu kwa sababu tu ya kuona kuwa asubuhi ukiugua unakimbilia kwa daktari bila kujua hata hiyo panadol inatengenezwa kiwandani ambapo kazi ya maEngineer imelala. Themometa ya kupima joto la mwili ni kazi ya engineer.
Kwenye maisha ya kawaida tu basi ni ukweli kabisa kuwa Daktari ni muhimu zaidi kwenye kuifikia na kuihudumia jamii kwa kuwa wanadili na mtu mmoja mmoja binafsi moja kwa moja.
Lakini Engineer ni ishu nyingine ya kiujumla na kimaendeleo ya mwanadamu ili awe tofauti na viumbe wengine na aweze kuyabadili mazingira kuwa bora na rahisi zaidi na kusaidia fani nyingine zitimize majukumu yake kwa wepesi ,kwa uhakika na haraka zaidi.
Swali very simple, huyo engineer anaweza kufanya yote hayo kama hayupo njema kiafya mfano ana matatizo ya ubongo?Ninafahamu watu wengi waliokua na ile kitu ya mzunguko lakini baadae wakajiendeleza na kuwa madktari
Udaktari ni practicle tu.
Engineering ndio ulimwengu.
Engineer ni lazima awe na akili ya ziada.
Engineer ni lazima awe mbunifu pia. Akili ya Engineer ni lazima iwe na wepesi wa kuoanisha kitu.
Hivi unaweza ukamjaji kwa kiwango kipi Engineer anayebuni na kudesign chombo cha kwenda anga za juu. Kwanza anadesign chombo ambacho ni kikubwa na kinachohitaji matrilion ya pesa na ambacho kikikosewa kidogo kinaleta hasara kubwa sana na madhara makubwa sana.
Sasa mtu unaposema kuwa Daktari anatakiwa awe smart zaidi ya Engeener unashindwa kugundua kuwa Engineer akikosea mfano kwenye Kipuri cha Nyuklia madhara yake ni makubwa sana kwenye jamii kwa wakati mmoja.
Hata mitambo wanayotumia madktari kama MRI ,CT scan n.k. ikikosewa na maengineer walioidesign haiwezi kutoa vipimo sahihi.
Daktari atageuka kuwa mganga wa kienyeji endapo tu atakatazwa au ataacha kutumia vifaa au vyombo vilivyotengenezwa na maengineer.
Bila kuwa na maEngineer duniani hata fani ya udaktari itarudi kama enzi za mababu mana haitakua na vifaa vya kisasa ,mazingira ya kisasa na maisha ya kisasa ambavyo ni kazi ya maengineer katika ulimwengu huu.
Engineer ni habari nyingine kabisa usiiangalie juu juu kwa sababu tu ya kuona kuwa asubuhi ukiugua unakimbilia kwa daktari bila kujua hata hiyo panadol inatengenezwa kiwandani ambapo kazi ya maEngineer imelala. Themometa ya kupima joto la mwili ni kazi ya engineer.
Kwenye maisha ya kawaida tu basi ni ukweli kabisa kuwa Daktari ni muhimu zaidi kwenye kuifikia na kuihudumia jamii kwa kuwa wanadili na mtu mmoja mmoja binafsi moja kwa moja.
Lakini Engineer ni ishu nyingine ya kiujumla na kimaendeleo ya mwanadamu ili awe tofauti na viumbe wengine na aweze kuyabadili mazingira kuwa bora na rahisi zaidi na kusaidia fani nyingine zitimize majukumu yake kwa wepesi ,kwa uhakika na haraka zaidi.
upo sawia kabisa kusema engineer ndio ana tengeneza madaraja, ndege,mabarara pamoja na baadhi ya vifaa anavyotumia doctor, lakini usisahau kuwa engineer anayetengeza iyo ivo anaweza kutumia ata miaka 10 kukamilisha ayo mambo na endapo akikosea anaweza kurudia tena na tena mpaka afanikiwe,Ninafahamu watu wengi waliokua na ile kitu ya mzunguko lakini baadae wakajiendeleza na kuwa madktari
Udaktari ni practicle tu.
Engineering ndio ulimwengu.
Engineer ni lazima awe na akili ya ziada.
Engineer ni lazima awe mbunifu pia. Akili ya Engineer ni lazima iwe na wepesi wa kuoanisha kitu.
Hivi unaweza ukamjaji kwa kiwango kipi Engineer anayebuni na kudesign chombo cha kwenda anga za juu. Kwanza anadesign chombo ambacho ni kikubwa na kinachohitaji matrilion ya pesa na ambacho kikikosewa kidogo kinaleta hasara kubwa sana na madhara makubwa sana.
Sasa mtu unaposema kuwa Daktari anatakiwa awe smart zaidi ya Engeener unashindwa kugundua kuwa Engineer akikosea mfano kwenye Kipuri cha Nyuklia madhara yake ni makubwa sana kwenye jamii kwa wakati mmoja.
Hata mitambo wanayotumia madktari kama MRI ,CT scan n.k. ikikosewa na maengineer walioidesign haiwezi kutoa vipimo sahihi.
Daktari atageuka kuwa mganga wa kienyeji endapo tu atakatazwa au ataacha kutumia vifaa au vyombo vilivyotengenezwa na maengineer.
Bila kuwa na maEngineer duniani hata fani ya udaktari itarudi kama enzi za mababu mana haitakua na vifaa vya kisasa ,mazingira ya kisasa na maisha ya kisasa ambavyo ni kazi ya maengineer katika ulimwengu huu.
Engineer ni habari nyingine kabisa usiiangalie juu juu kwa sababu tu ya kuona kuwa asubuhi ukiugua unakimbilia kwa daktari bila kujua hata hiyo panadol inatengenezwa kiwandani ambapo kazi ya maEngineer imelala. Themometa ya kupima joto la mwili ni kazi ya engineer.
Kwenye maisha ya kawaida tu basi ni ukweli kabisa kuwa Daktari ni muhimu zaidi kwenye kuifikia na kuihudumia jamii kwa kuwa wanadili na mtu mmoja mmoja binafsi moja kwa moja.
Lakini Engineer ni ishu nyingine ya kiujumla na kimaendeleo ya mwanadamu ili awe tofauti na viumbe wengine na aweze kuyabadili mazingira kuwa bora na rahisi zaidi na kusaidia fani nyingine zitimize majukumu yake kwa wepesi ,kwa uhakika na haraka zaidi.
Hamna kitu hapo umezaji wa vitini tuuMEDICINE MZIKI MWENGINE NYIE VIJANA