Do you search for the G - spot when making love?

Mkulu hapo kwenye majoras (both minor & major) bado ni nje, inaaminika kuwa ipo ndani ya uke kwenye ukuta wa mbele (on vaginal mucosa) kwny umbali wa kati ya 2-6cm, ni ndani ya hizo anatomical landmark.
By the way, unaweza kufanya eksiperimenti kama wewe ni ke kwa kutumia topical local anaesthesia yenye 2% lidocaine. (kama utafanya tujulishe matokeo sisi tulio wa jinsia ya pili kama utafanya jaribio hilo)

G-SPOT INAAMI NIKA KUWA MAENEO YA NAMBA 4.
 

je uume unaweza igusa G spot ama ni kidole tu
na kama ni kidole BY DUING WAT???
 
lakini mbona inakua ngumu kuugusa kwa uume

Inahitaji direct stimulation. Labda uume ambao umepindia juu unaweza hii kitu. Na kuna styles nyingine ambazo zinauweka uume katika probability kubwa zaidi ya kugusa g spot. Mfano kupakua from behind at an angle less than 90.

Hamna formula kwenye mapenzi, we angalia picha hapo juu uimprovise
 
mi kwa maoni yangu,guys acheni kuweka vidole k.umani kutafta GSpot jmn,smtym vinatuumiza tu,mambo yote kwenye clit
 
Reactions: Mbu
Hii G-spot inahitaji touch ili kuiona kwa mawazo yangu mi ndo naona
 
najua lakini nataka tusaidiane wanaume wengi waijue
WENGI HAWAJUI NDO MAANA WANACHAPIWA

..dada masai ni vema we wajijua uzuri sexually..na ni vizuri unadodosa kujua kama wanaume nao waijua G spot.....maana hakika si wanaume wala wanawake wengi wenye ku share haya wakati wa tendo la ngono.....na hii ni sababu mojawapo inaypelekea kweli watu kutoka nje ya mahusiano(wanaume kwa wanawake).....maana suala la kujua ni wapi mwanamke aguswe ili akojoe ni juu ya wote kushirikishana ......

...hata hili la kuijua G spot si wajibu wa mwanamme pekee kuitafta .....bali hata mwanamke ana wajibu wa kum lead mwanamme kwenye hili...ili wote mkojoe.....maana wanaume tuna tofautiana.....kuna wale wenye ku enjoy zaidi ngono pale wanapoona wanawake wao nao wanakojoa.....na kuna wanaume wanaojijali wao tu..wakishakojoa wao basi....mwanamke hata kama hajakojoa si juu wao.....na hili nalo linaplekea wanawake hawa wasioridhika kutoka nje ya mahusiano....

...kuna wanawake ambao wamekua kwenye ndoa na wakazaa hadi watoto lakini hawakuwahi kukojoa wakati wa tendo (orgasm)...na hawa unakuta ama hawajijui ..ama bwana zao ndio hao wa kuwakojolea na kusepa.....(tafiti zimedhiirisha hili)


... wanawake wana tofautiana sana kwenye swala zima la kukojoa (orgasm)....kuna wale wenye kukojoa kwa kuguswa tu clitoris (clitoral stimulation).....kuna wale wenye kupenda deep penetration ili wakojoe(yaani hadi wagongwe ndaani kabisa ya uke kwenye cervix)...na kuna wale ambao hadi waguswe G spot.....ambayo ni kaeneo tu ndani kidogo ya K kwa mbele...G spot haiko kwenye mashavu ya K (labia)..bali iko ndani kidogo ya K (kwa mbele)...wewe waijua...wenzako weengi hawajijui....na hata kama wanajijua hawawaambii jamaa zao wakati wa game.....

....kuigonga G spot kunazungumzwa sana maana husababisha wanawake wakojoe uzuri maradufu (yaani multiple orgasms)...

...wanaume kwa wanawak kujua G spot (practically) ni sehemu mojawapo ya kupambana na michepuo....na ndio msingi wa uzi huu.......
 

nikipata MPENZI NITAMUELEKEZA
lakini je ulimi unafikia g spot??
 
mchango mzuri
ila kuna wanawake mambo yote ni hapo kwenye clitoris

kwa chini hapo(lower surface of the clitoris)
hapo ndipo hukojoa hata mara 3 kwa tendo moja
pa kipapaswa au kuchezewa na uume au ulimi
je mwanamkenkama huyu utasema pale ndo G spot yake???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…