Dkt. Tulia usigombee Mbeya Mjini

Kwa uchaguzi upi huo huyu Tulia sijui Mapepe alichaguliwa?

Ule upumbavu ndio mnaita uchaguzi?
 
Tulia ni kuadi namba mbili wa kuuza bandari zetu kwa maslhi binafsi. Mama ameshamwambia hata akikosa ubunge, atakuw wa kwanza kupewa ubunge wa uteuliwa na rais kikatiba
Bandari zetu ni salama na hazijauzwa kwa yeyote yule.lakini pia hayupo mwenye ubavu wala uwezo wa kumuangusha wala kumshinda Dr Tulia katika sanduku la kura.
 
Hakuna cha mwanaharakati Mwabukusi wala jiwe la sugu.
Anayeleta maendeleo ndiyo tunamchagua.
Mnaotaka wabishi nendeni mkale huko kwao!
Gwandile ndili ubukonyofu???mwakaleli tuli na mahala fijoo
 
Bandari zetu ni salama na hazijauzwa kwa yeyote yule.lakini pia hayupo mwenye ubavu wala uwezo wa kumuangusha wala kumshinda Dr Tulia katika sanduku la kura.
Kabisa uko sahihi.maana tume ya uchaguzi ccm,polisi ccm,mkurugenzi ccm,jeshi ccm,mahakama ccm.refa wewe,mchezaji wewe alafu timu yako ifungwe??Sio rahisi.Mwambukusi ni kidume yule,tutakua nae bega Kwa bega.mpaka kieleweke.na bandari hamuuzi ng'ooo,NGUVU YA UMMA IPO
 
Ili kulinda heshima yako na aliyekuteua kwa kukupigania upate ubunge mbeya mjini 2020. Nakusihi 2025,usigombee.

MWAMBUKUSI ndio habari ya mjini.ni ushauri tuu
Pale mfuasi wa Sugu anapoanza kuweweseka 😂😂

Ni hivi Tulia atatulia Mbeya mjini,huyo mbumbumbu wako kama unamhitaji mualike kwako ata rapu ufulahi
 
Pale mfuasi wa Sugu anapoanza kuweweseka


Ni hivi Tulia atatulia Mbeya mjini,huyo mbumbumbu wako kama unamhitaji mualike kwako ata rapu ufulahi
Mbeya labda Kwa wasafwa wajinga wenzio mporoto huko.mjini hapa hatakiwi kuonekana.
 
Ili kulinda heshima yako na aliyekuteua kwa kukupigania upate ubunge mbeya mjini 2020. Nakusihi 2025,usigombee.

MWAMBUKUSI ndio habari ya mjini.ni ushauri tuu
Labda jimbo la Mbeya lipasuliwe vipande vitatu. Likibaki kuwa moja ama kumegwa na kuwa majimbo mawili, nahisi Bibi Tarabushi atakuwa hana lake.
 
Ujinga toka kwa punguani.
 
Msomi anayetetea mkataba mbovu wa bandari??Bora mbumbumbu mjanja kuliko msomi lofa
Bandari zimefanyaje? Si mlisema DP World amechukua Bandari zote,TPA ametangaza tender omba Sasa ukaendeshe container depot's au unasubiria Mwarabu aombe uanze kuongea upumbavu wako?
 
Kwa kipindi kile kishimba alikua hata hawezi kujieleza, ilinishangaza sana kuona kashind tena Kwa kishindo.
 
Huyu mama ni zaidi ya mchawi sura mbovu roho mbaya miguu mwembamba kama miwa

Tangu siku ile afanye uchawi live kule mbeya amebeba jeneza eti anakwenda kuizika chadema kwa mwalimu wa chuo kikuu yaani hata sheria hajui ni laana

Kwangu mimi huyu ni msaliti namba moja wa tanganyika anatakiwa kuuwawa kwa kupigwa mawe kwani ni zaidi ya vibaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…