Hapa si bado mkandarasi hajakabidhi mradi na mradi unaendelea embu kitulize daraja la kutoka Mbezi stend kuja magufuli terminal maunganisho ya njia si yamefanyika Juzi kuwa na utulivu ukiwa unakunywa mtori nyama zipo chini.
Jiwe aliijenga kwa miaka mingapi? Unaemsifia hapa ni miaka mingapi kumalizia tu ni shida? na bado unataka tumsifie. Ungenambia nayeye kapanua barabara toka ubungo hadi kimara,au kutoka kibaha hadi mlandizi ningekuelewa
Mji wa Serikali Mtumba unaosema labda nguo, Hapa Dodoma mambo ni moto kila Wizara inajitahidi kuhakikisha mambo yanakwenda au ulitaka wajenge ofisi za mabati?