Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na makundi ya vijana wa CCM kisiwani Pemba katika Mkutano huo wa kampeni uliofanyika Ukumbi wa Mikutano Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Oktoba 7, 2025 na kuwaambia "Tukishindi uchaguzi, tufanye bonge la party"