Dkt. Mwigulu awasili mkoani Katavi kwa ziara ya kikazi

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
261
Reaction score
199
DKT. MWIGULU AWASILI MKOANI KATAVI KWA ZIARA YA KIKAZI

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 12, 2026 amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoani Katavi, kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi mkoani humo.

Katika ziara hiyo inayotarajiwa kuanza rasmi kesho Machi 13, 2026, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu atakagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi.

 

Attachments

  • IMG-20260312-WA0111.jpg
    376.6 KB · Views: 3
  • IMG-20260312-WA0110.jpg
    221 KB · Views: 3
Tija ya hizi ziara ni chache sana kwa nchi

Nadhani target ni personal tija kwa 2030 na si kwa Taifa kwa current timings.

It is way far misuse of resources waziri mkuu kuzunguka na ma V8 au hiyo ndege ya serekali fokker 50 kuongea na wananchi wanaolalamika petty issues ambazo zilitakiwa ziwe zimeshakuwa solved na makatibu tarafa na watendaji au maximum DC's siku nyingi nyuma

Na ingekuwa na maana kama mwananchi akiinuka kutoa malalamiko yake PM asiseme waone wasaidizi wangu, anatakiwa amuulize respective kiongozi na kama hana majibu amuwajibishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…