Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,175
- 93,465
Usipo sikiliza utajuaje kuwa ni takataka au siyo mkuu 'TUKANA'?Hizi TAKATAKA huwa mnatoa wapi muda wa kuzisikiliza?
Nchi hii wanatengeneza criss ili watuibie sisi wananchi wanyonge . hili ni shamba la bibiMzee anadai tulikua kwenye Crisis, wakati Ushahidi unaonyesha Wamiliki wa Viwanda wanaozalisha Sukari, na ambao ndio Sheria imewapa Nguvu ya kuagiza Sukari nje, waliomba Kibali, Bashe akawacheleweshea Kibali kiasi Cha wao kushindwa kuagiza Sukari Kwa wakati.
Mzaa hakaz anasema, sio Dhambi Kampuni ya Stationary kuagiza Sukari, anajisahaulisha kua Kampunzi zote zilizotajwa Kwa Ushahidi wa Mpina ni madudu madudu tupu sio Brela, sio Uwezo wa Kipesa, hali inayoleta maswali Kwa Watanzania kua "Huenda Wezi na Mafisadi, walitengeneza Suala la Sukari, wakapewa Msamaha, wakaingiza Sukari Yao ili kupiga Hela?
Ama Hakika Hata MJINGA NAYE ANAZEEKA NA UJINGA WAKE.
View attachment 3019067
Pia soma:
Huyu mzee kwa mwonekano wa sura yake na hongea yake akipewa wizara anaweza kuuza mpaka viti, ila akiwa mkurugenzi wa halmashauri , anaweza binafishisha mpaka watumishi, janja hivi hamna lolote ,anasema ilikua dharula , dharula ndo isababishe kukiuka taratibu za nchi, je waliujulisha umma, je sukari ilishuka bei au imeshuka bei, ,apeleke uchawa kwa wachawa wenzio huko , uyu mzee wala sio mara ya kwanza kumsikia akiongea mambo ya ajabu,Mzee anadai tulikua kwenye Crisis, wakati Ushahidi unaonyesha Wamiliki wa Viwanda wanaozalisha Sukari, na ambao ndio Sheria imewapa Nguvu ya kuagiza Sukari nje, waliomba Kibali, Bashe akawacheleweshea Kibali kiasi Cha wao kushindwa kuagiza Sukari Kwa wakati.
Mzaa hakaz anasema, sio Dhambi Kampuni ya Stationary kuagiza Sukari, anajisahaulisha kua Kampunzi zote zilizotajwa Kwa Ushahidi wa Mpina ni madudu madudu tupu sio Brela, sio Uwezo wa Kipesa, hali inayoleta maswali Kwa Watanzania kua "Huenda Wezi na Mafisadi, walitengeneza Suala la Sukari, wakapewa Msamaha, wakaingiza Sukari Yao ili kupiga Hela?
Ama Hakika Hata MJINGA NAYE ANAZEEKA NA UJINGA WAKE.
View attachment 3019067
Pia soma:
Kama ukisema umemuelewa Muchunguzi basi IQ yako ni kubwa Sana. Mtu anatetea kampuni ya simu kuagiza Sukari si ni Mwizi Tu na uzee wake? Masharti ya leseni ya Itel yanaruhusu Biashara ya chakula? Uzoefu huo wanao? Waliwahi kufanya wapi?Mzee anadai tulikua kwenye Crisis, wakati Ushahidi unaonyesha Wamiliki wa Viwanda wanaozalisha Sukari, na ambao ndio Sheria imewapa Nguvu ya kuagiza Sukari nje, waliomba Kibali, Bashe akawacheleweshea Kibali kiasi Cha wao kushindwa kuagiza Sukari Kwa wakati.
Mzaa hakaz anasema, sio Dhambi Kampuni ya Stationary kuagiza Sukari, anajisahaulisha kua Kampunzi zote zilizotajwa Kwa Ushahidi wa Mpina ni madudu madudu tupu sio Brela, sio Uwezo wa Kipesa, hali inayoleta maswali Kwa Watanzania kua "Huenda Wezi na Mafisadi, walitengeneza Suala la Sukari, wakapewa Msamaha, wakaingiza Sukari Yao ili kupiga Hela?
Ama Hakika Hata MJINGA NAYE ANAZEEKA NA UJINGA WAKE.
View attachment 3019067
Pia soma:
Jamaa katudhalilisha mno wahaya. Atakuwa ni mziba huyu!Usipo sikiliza utajuaje kuwa ni takataka au siyo mkuu 'TUKANA'?
LOOoh!
Tena jamaa ni Doctor kabisa! Dr. Muchunguzi. Sijui ni Doctor katika vitu gani huyu, kuna anayejuwa atueleze?
Mazungumzo yote jamaa anajikanyagakanyaga tu, hakuna anachoeleza kikaeleweka!
Waalimu mtanisamehe, inawezekana huyu bwana alikuwa ni mwalimu. Wanafunzi wake walikuwa na shida kubwa sana.
Hapa inawezekana jamaa anapambania uteuzi!
Siwezi kuondoka kabla ya kumchambua kidogo huyu Daktari wetu jinsi nilivyo msoma:
1. Zungumza yake ya haraka haraka, unajuwa maana yake ni nini? Ni udhaifu, udanganyifu, kuvungavunga mambo; ili mradi aonekane anajuwa.
2. Lugha ya kimwili, aliyoiita mwenyewe 'body language'. Anaruka ruka sana anapozungumza. Mikono ipo kila sehemu. Macho na mdomo, vyote anavitumia kwa wakati mmoja. Hii ni kutaka kupoteza lengo. Kumfanya anayemsikiliza asiweke akili yake kwa yale anayoyazungumza, bali anavuta akili za msikilizaji kwa mambo yasiyo husika na kinachozungumziwa
3.' Incoherent'. Mtiririko wa anayozungumzia hayana mpangilio unaofuatana vizuri ili kujenga hoja inayoeleweka. Anashutumu, hapo hapo anaruka na kusema hamlaumu anayemshutumu. Huyu ndiye Daktari wetu.
4.Kujikomba/unafiki. hata haoni aibu
Wananchi wanao chagua wabunge wa namna hii, sijui wanavutiwa na kitu gani hasa!
Mkuu hauelewi kinachowaforce wapiga kura kupelekea kushitukia wameuingia mkenge?...ananchi wanao chagua wabunge wa namna hii, sijui wanavutiwa na kitu gani hasa!...
Kamwe siwezi kabisa kukielewa mkuu 'Sakasaka'.Mkuu hauelewi kinachowaforce wapiga kura kupelekea kushitukia wameuingia mkenge?
Yule Mzee kama anakula kitu cha Arusha,hayupo sawa kichwani yule!!🤣🤣🤣Usipo sikiliza utajuaje kuwa ni takataka au siyo mkuu 'TUKANA'?
LOOoh!
Tena jamaa ni Doctor kabisa! Dr. Muchunguzi. Sijui ni Doctor katika vitu gani huyu, kuna anayejuwa atueleze?
Mazungumzo yote jamaa anajikanyagakanyaga tu, hakuna anachoeleza kikaeleweka!
Waalimu mtanisamehe, inawezekana huyu bwana alikuwa ni mwalimu. Wanafunzi wake walikuwa na shida kubwa sana.
Hapa inawezekana jamaa anapambania uteuzi!
Siwezi kuondoka kabla ya kumchambua kidogo huyu Daktari wetu jinsi nilivyo msoma:
1. Zungumza yake ya haraka haraka, unajuwa maana yake ni nini? Ni udhaifu, udanganyifu, kuvungavunga mambo; ili mradi aonekane anajuwa.
2. Lugha ya kimwili, aliyoiita mwenyewe 'body language'. Anaruka ruka sana anapozungumza. Mikono ipo kila sehemu. Macho na mdomo, vyote anavitumia kwa wakati mmoja. Hii ni kutaka kupoteza lengo. Kumfanya anayemsikiliza asiweke akili yake kwa yale anayoyazungumza, bali anavuta akili za msikilizaji kwa mambo yasiyo husika na kinachozungumziwa
3.' Incoherent'. Mtiririko wa anayozungumzia hayana mpangilio unaofuatana vizuri ili kujenga hoja inayoeleweka. Anashutumu, hapo hapo anaruka na kusema hamlaumu anayemshutumu. Huyu ndiye Daktari wetu.
4.Kujikomba/unafiki. hata haoni aibu
Wananchi wanao chagua wabunge wa namna hii, sijui wanavutiwa na kitu gani hasa!
Inasikitisha na kushangaza sana kupeleka mtu wa aina hii Bungeni. Lakini siyo yeye pekee, Bunge letu limekuwa la watu wa ajabu ajabu sana siku hizi. Kuna wengine wanaolala chini kwenye mavumbi kabisa wakihutubia wananchi, wakiomba kura za wananchi kwa Naibu Waziri Mkuu, kule Geita (nadhani)?Yule Mzee kama anakula kitu cha Arusha,hayupo sawa kichwani yule!!🤣🤣🤣
Kwanini serikali isiwe na viwanda vyake vya sukari ikasjili wafanyakazi kama taasisi nyingine?Wenye viwanda walijua mapema kuwa kipindi cha kuaimamisha uzalishaji kina kuja na kitakuwa cha muda wa mrefu zaidi kutokana na mvua ya El Nino wwakaishia kusubiri stock yao yote iishe kwanza na kusababisha uhaba na kupanda bei usio wa lazima.
Huko Mwanza hata hicho kiasi kidogo walicho agiza kulikuwa kwenye ghala la msambazaji mmoja bila kuuzwa Ili bei iendelee kupaa,ukitaka wizara ifanyeje,kwenye hali mbaya na kelele nyingi?
Huyu sioni tofauti ya uDr wake na yule Prof alie muita mwenda kuzimu Mungu.Mzee anadai tulikua kwenye Crisis, wakati Ushahidi unaonyesha Wamiliki wa Viwanda wanaozalisha Sukari, na ambao ndio Sheria imewapa Nguvu ya kuagiza Sukari nje, waliomba Kibali, Bashe akawacheleweshea Kibali kiasi Cha wao kushindwa kuagiza Sukari Kwa wakati.