Dkt. Biteko: Wanahabari wana kazi ya kupambana na taarifa potofu ili jamii ipate taarifa sahihi

JamiiCheck

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
213
Reaction score
226
Ujumbe wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko, unasisitiza na kuwakumbusha waandishi wa habari kuhakikisha wanadhibiti Taarifa zisizo za kweli na kutoa zile zilizo sahihi ili kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi.

Ni muhimu kuthibitisha kila Taarifa unayokutana nayo kwani ndiyo silaha muhimu itakayomuwezesha kila mmoja kupambana dhidi ya Taarifa Potoshi.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…