Dk. Watson kanena iliyokweli!

njalau

Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
62
Reaction score
12
Nimefutlia siasa za bongo nimegundua aliyoyasemwa dk. Watson, kwamba "anawasiwasi na akili ya mtu mweusi " ni kweli na hili linathibitishwa na mchakato wa watia nia wamagamba ambao hugombaniwa kudhaminiwa na watz maskini kabisa, kwa maneno yaleyale waliyoshindwa kutekeleza miaka kwa 50s mbaya zaidi wanaoonekana wanaupungufu wa maadili ndio hupata watu wengi wa kuwadhamini,mf. Fisadi mkuu.

UMESEMA KWELI Dk.Watson
 
Ukweli mchungu ambao tunatakiwa tuumeze hivyohivyo. Lakini nawe jamaa unatakiwa uandike hapa kwenye bango lako binafsi nishaouona mahala lakini sifikiri kama kila mwanajf ashausoma.
 
Tatizo ni pale hata wanaojua na kutakiwa kuusema ukweli wanapochukua jukumu la kuwalaghai watanzania maskini walio wengi na wasio na uelewa wa kutosha, waangalie waandishi wa habari wwnachokifanya kusema kweli hawatakiwi kuitwa waandishi wa habari, ingefaa tuwaite WAVURUGA HABARI!
 
Mjadala wa James Watson ni mpana sana
 
Fisadi mkuu ni nani? Mwendazake au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…