Kwanza lazima atueleze ni lini ameanza kumtambua Rais Kikwete kama ndiyo Commander-in-chief.
Wahenga walisema, ukiwa muongo lazima usiwe msahaurifu.
Kwa sasa ameishasahau kama alisema baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2010 kuwa hamtambui Rais Kikwete kama Rais wa Tanzania.
Viongozi wakuu wa CHADEMA hawana mpinzani nchini kwenye siasa za kilaghai.
How?
Dk. Slaa alisema chanzo cha mauaji yanayoendelea Kiteto ni baadhi ya wanasiasa wanaoongoza wilaya hiyo akiwamo Mkuu wa Wilaya, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya na mbunge ambao wameshindwa kuwajibika ipasavyo.
Ndugu,kwa hiyo yanayoendelea ni mazuri ??
Huyu keshachuja kauli zake ni dhaifu kama mlenda
Kwanza lazima atueleze ni lini ameanza kumtambua Rais Kikwete kama ndiyo Commander-in-chief.
Wahenga walisema, ukiwa muongo lazima usiwe msahaurifu.
Kwa sasa ameishasahau kama alisema baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2010 kuwa hamtambui Rais Kikwete kama Rais wa Tanzania.
Viongozi wakuu wa CHADEMA hawana mpinzani nchini kwenye siasa za kilaghai.
Nyie anawalisha na kuwafanya muishi leo unajifanya hujui yuko wapi.Dada samahani nikuulize kitu eti Profesa kasharudi nchini kutoka USA?
Yeye ni nani mpaka aiagize Serikali!?? Serikali ina taratibu zake za kufanya kazi.
Ndugu,
Hoja hapa ni yule anayekemea au kutoa ushauri kwa Rais wa Tanzania na siyo matukio yanayofanyika.
Dk. Slaa hana moral authority, political authority and political obligation ya kumwambia Rais Kikwete amwajibishe Mkuu wa Wilaya wakati hamtambui kama ni Rais wa Tanzania, otherwise, atueleze ni lini alimtambua Rais Kikwete kama Rais wa Tanzania.
Nyie anawalisha na kuwafanya muishi leo unajifanya hujui yuko wapi.
Mzee slaa kwani yeye nani mpaka anaiagiza serikali mpaka anaigiza serikali yeye akomee kwa josephine tu kuagiza serikalini asitie mguu atapigwa tifu.